serikali ipo kwa ajiri ya raia sio maslahi ya wachache au kikundi cha watu fulani... huko wanapo zungumzwa masai napafahamu vyema na abc zake... mpka jamaa ambaye ndio mhamasishaji wa wamasai kugoma ambaye sasa yupo masomoni kwa ajri ya PhD, piga simu uliza masai huko loliondo walivyo kwa sasa...
hakuna ambacho sifahamu kuanzia hapo muda mpaka sasa, kama vipo ni mambo madogo sana... tuna marafiki pia wa kimasai kwa koo zao huko ambao ukitaka kwenda taarifa zina fika kabla wewe haujafika na una pokelewa bila kujitambulisha.
ila ndio kama ulivyo ujamaa, tuna ishi kwa kuvumiliana kwa mapungufu yetu. wame pokonywa Ranchi mwaka jana mwishoni hapo monduli, na wana dai ranchi ni yao... je kweli ranchi ni yao? tuna wwaelwa ndugu zetu wana changamoto zao na tuna fahamu jinsi ya kuishi nao kwa maumivu hata akikuchoma bisu, sababu n ndugu zetu na binadamu tuna mapungufu yenu.
masai ni vulnerable group...
wewe unae subiria story za kijiweni au vijiweni kuhusu masai endelea kusubiria... na una safari ndefu sana kuwa elewa hawa watu na namna ya kusaidia
usipo peleka mtoto shule una shitakiwa, ukibaka una shitakiwa, kuoa mtoto una shitakiwa. je kwa masai? na masai wote wana furahia? na una waingiaje kuwa ambia waache?
kaa hapo hapo piga kelele twitter na wakina sijui ole nani... endeleeni kudanganyana mkihisi mna ambiana yaliyo wazi na kweli kuhusu hii jamii...
hawa pale selela kuna kipindi wana teseka hawana mfano, tuna ingia kusaidia... una leta siasa, kuna madarasa yanayo tembea kila masai walipo, una zungumzia hii ya huduma ya afya, yapo mengi.
kuna kipindi masai ana kula mchicha na ugali njaa mbya
endelea kukesha twitter....
nina picha na video nyingi za masai kuhusu haya mambo yao, na masai wengine walio elimika wana tumia kupata pesa toka kwa wageni