DOKEZO Unyanyasaji kwa Walimu wanaofundisha shule ya St. Matthew

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
nakubaliana na wewe mimi nimesoma ile shule,Enzi za yule baba Mutembei ilikuwa St mattew's haswa jamani,Roho imeniuma sana kusikia haya dah,Sijui kwa sasa imekumbwa na nini eti usikie kuna disco shuleni wee! mwenyewe aliwahi kuwafukuza watu wa kampuni moja walikuja kufanya concert na wanafunzi walishiriki ummis balaa lake lilikuwa sio dogo alivyokuja akakuta hayo walimu walijuta,na zilikuwepo motisha nyingi kwa walimu
 
Ubuyu mwingine huyu mzee si ndio alitoa mawe ya balaa hata kusema naogopa, Kuna kanisa lipo Kijichi baada ya kuendelea vizuri Kama shukrani, kumbe walimu Wana Hali duni tu.
 
Shule za private kwa sasa hazina mapato. Serikali imejenga na inaendelea jenga Sekondari, na hakuna Ada.

Poleni sana.
Yaani shule yenye watoto 700,?haina mapato, na unafahamu karo ya pale, ni ndefu na huwa wana matokeo maxuri sana kwenye mitihani ya taifa.
 
Enzi zake bado ana nguvu mambo yalikuwa moto sana.
 
Aisee
 
Mimi kama mzazi nina mtoto anasoma primary hapo St Matthews changamoto ni kuwa wale walimu wa zamani wazoefu kwa ngazi ya primary wameondolewa wengi na kwa sasa kuna walimu wapya ambao wana struggle ku copy na hali ya wanafunzi
 
Yaani shule yenye watoto 700,?haina mapato, na unafahamu karo ya pale, ni ndefu na huwa wana matokeo maxuri sana kwenye mitihani ya taifa.
Mambo mengine hayapaswi kuandikwa hapa. Ila elimu yetu inapaswa kuangaliwa Kwa jicho la tofauti sana. Ni muhimu serikali ifikie hatua mitihani iwe inafika wakati wa session ya mtihani tuu. Mitihani ya Mock ndio kabisa hovyo. Yanayoripotiwa kwenye hizi shule ni majanga Kwa kizazi Cha kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…