Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 5,445
- 14,828
Habari za asubuhi wana jamii! Hope mko poa na Xmass ilienda good.
Kuna jambo limenitatiza kidogo kuna kijana amekamatwa akiiba nyumbani kwa jirani hapa, ila cha kushangaza badala ya kumpeleka polisi wakamfungulie mashtaka wameishia kumtesa, kumdhalilisha na kumnyanyasa.
Wamekoroga cement na kumlazimisha ainywe mbaya zaidi wamemfunga kamba mikono na kuimwagia petrol kisha wakaichoma moto, jamani sio uungwana hata kidogo hii ni jamii ya namna gani ya kutesa wezi na vyombo vya sheria vipo? Mbona jamii imekuwa na watu katili kiasi hiki?
Tukataeni unyanyasaji wa aina yoyote ile katika jamii zetu. R.I.P kibaka, walimwengu ni makatili sana.