OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Katika kazi zenye riski kubwa basi ni hii. Hasa kwa jamii zetu hizi za kimasikini..japo siyo kazi ni uhalifu ila kuwa mwizi dah! Maana ake umeweka 50% ya maisha ako rehani. Ni ngumu sana kwa mwizi kukwepa kipigo hadi kupelekea kifo kutoka kwa wananchi kwa sababu ya hali mbaya ya maisha wananchi wengi ni mafukara alafu apo apo muizi anakuja kuiba tena. Aise lazima raia wakumalize tu tena kwa mateso makali mnoo.