Unyanyasaji wa kibinaadamu hasa kwa wezi siyo mzuri

Katika kazi zenye riski kubwa basi ni hii. Hasa kwa jamii zetu hizi za kimasikini..japo siyo kazi ni uhalifu ila kuwa mwizi dah! Maana ake umeweka 50% ya maisha ako rehani. Ni ngumu sana kwa mwizi kukwepa kipigo hadi kupelekea kifo kutoka kwa wananchi kwa sababu ya hali mbaya ya maisha wananchi wengi ni mafukara alafu apo apo muizi anakuja kuiba tena. Aise lazima raia wakumalize tu tena kwa mateso makali mnoo.
 
Ukikamata mwizi mfunge kwenye mti mkubwa na waya kenchi kisha mwaga petroli ya buku kwenye nguo. Tieni kiberiti kisha msamba.

Ataungua dk 10 kisha anaendelea kusikilizia utam kwa masaa mawili ndipo anakata moto.
 
Inawezekana wewe ni mmoja wa walioponyoka mwenzio akadakwa umekuja kutusimulia

Hao wezi ni makatili zaidi ukikutana nao ndiyo wameingia kwako acha wapate mshahara wao maana mshahara wa dhambi ni mauti
Kwahyo kuutoa uhai wa binaadamu mwenzako kisa amekuibia na umemkamata unaona ni sawa? Wewe binafsi yako hujawahi kuiba tangu uzaliwe? Au kwasababu hujakamatwa ndio maana unaropoka!
 
Weezi na vibaka hawaogopi jela wa mahakama wala polisi.

Wanaogopa bunduki, petroli na mawe.

Ndugu wananchi mkipata mwiz pgen chapu za uso, pasua kichwa, tia panga mirija ya shngo.

Hakuna kuhurumia jizi. Mpeleke mapema kwa allah.
Do you know the consequences za hii comment yako? Tafadhali mkuu acha kuhalalisha mass killings ni mbaya kwa kizazi kijacho na hata kwako. Imagine upite mtaani alafu mtu akushuku kuwa ni mwizi akuimbie wimbo wa taifa uje upigwe uuwawe na hujaiba hiyo ni sawa?
 
Hao wezi na vibaka wametoa uhai wa watu wangapi wasio na hatia?
Na wengine wengi tu saivi vilema sababu ya hao wezi
Mfano mzuri panya road wanavyotesa watu mitaani

Hizo adhabu zinawastahili ili siku nyingine wasirudie
Wakipelekwa polisi kesho unakutana nao mtaani
 
Huko uswahilini walikojazana vibaka kuna CCTV cameras ngapi?
 
Unaonekana na ww ni kibaka/mwizi uliekimbilia hapa kuja kuomba public sympathy. Nakwambia hv,,,, tutaendelea kuwachoma moto mpaka mtafute kaz nyngne ya kufanya dadeq zenu nyie!!!
 
Na uzuri hao wezi wanapokwenda kuiba wanakuwa wamejiandaa kuiba, kuua na hata kuuawa. Hivyo ni sahihi kupata kimojawapo ya kile walichokitegemea.
 
Mchawi na Mwizi Biblia ilishatoa hukumu zao.
Kutoka 22:18 Usimwache mwanamke mchawi Aishi.

Hapo kwenye Mwizi Sijapata mstari wake
 
Huwa wanapelekwa mahakamani na hapo watu wengi hawaendi kutoa ushahidi ndio maana wanaachiwa Futuza unadhani ukienda kutoa ushahidi mahakamani, lazima ale mvua hata miaka 3 na itakuwa fundisho.
Katoe ushahidi uone!!

Wanaogoma kwenda kutoa ushahidi sio wajinga. Ndio maana "wananchi wenye hasira kali" huwa wanamalizana nao. Polisi wenyewe mkiwaita wakaja wakakuta bado hamjawashughulikia wanawashangaa.
 
Kibaya zaidi ameteswa na wezi wenzao.
Watz asilimia kubwa ni wezi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…