Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
kwakua hii imeenda tayari,JF simameni katikati, hapa hajatajwa mtu..
Nikirudi kwenye mada, Kama kuna mtu wa ngazi yoyote anatoa maagizo wagombea wa upinzani wanyanyaswe kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa, ombi langu kwa Mungu ni amchukute huyo mtu ili nchi yetu iendelee kuwa salama.
Na kama ni mfumo, Mungu upige kofi huo mfumo usambaratike kwa faida ya hii nchi.
Nasema hivi kwasababu, kama huyo mtu yupo na maagizo yake ndio yanapelekea huu unyanyasaji unaondelea, basi ni wazi kwenye uchaguzi mkuu wa 2025, mtu huyo anaweza kuiweka nchi katika sintofahamu kubwa . Hivyo, ni bora mtu huyo atangulie mbele za haki kwa faida ya mamilioni ya watanzania na Taifa kwa ujumla.
Mungu tusaidie kwa kadri unavyoona inafaa. Llle pigo la kwanza inaonekana halijawapa funzo, hivyo wanastahili pigo lingine.
wakati mwingine muafaka kama huu tukijaaliwa Neema na Baraka ya uhai kadiri ya mapenzi ya Mungu,
Tuwaombee Hekima na Busara wagombeaji uongozi wa upinzani kujaza fomu za kugombea uongozi vizuri kwa utulivu bila mihemko, makasiriko, ghadhabu wala mchecheto ili wasikosee tena.
Inafaa vyama vya siasa kujiamini na kua na uhakika na mchakato mzima wa uchaguzi na malengo yao.
Wajiepushe na mawenge ya mara hatushiriki mara tunashiriki uchaguzi . Ooh mara hakuna haja ya kujiandikisha mara tukajiandikishe huku muda unakwenda n.k
Kusitasita, Staki na taka ndiyo imewafikisha hapa walipofikia wapinzani nchini.
Mengineyo ni porojo na story za pata potea tu 🐒