Unyonyaji unaofanywa na Diamond/WCB kwa wasanii hauna tofauti na ule wa Clouds na waliekuwa wanamtuhumu

Duuh, watu eote tungekuwa na uandishi huu humu ndani vichwa vingechemka vikalipuka.
 
mtoa mada itakua upo nyagi, nambie ni label gan ya mziki hapa bongo ishatengeneza wasanii nakuwapa mafanikio kwa mda mfupi kama wasafi?
kuna muda tukitaka kuandaa nyuz, basi tutafakar
Ndio kigezo cha kunyonya watu??
 
AsantE MwaliMu waBritish KanselI nitakuj kwako unifundishe fasiHi na Uandishi pAmojA na alfaBEti
 
Umeandika uchafu.. rudi ukafundishwe jinsi ya kupangilia masndishi na taratibu zske
Endelea kuandika yako yaliyo masafi ndugu, Anza kujitolea kuwafundisha watu nitakuja kujifunza kwako, inaonekana unajua sana kufundisha nitashukuru sana ukianza kufundisha umu, Ongea na moderator ili afungue page ya uandishi niwe mwanafunzi wako
 
Kubali kukosolewa..na ukubali kubadilika.
Kwahiyo hujui matumizi ya naandishi makubwa au kuacha paragraph.?
 
Natumaini amekuelewa vizuri, wanaongea bila kufikiri sijui walitaka diomond atoe sadaka uwekezaji mkubwa alioufanya.
 
Harmonize anaenda kuua umaarufu wa kiba now itakuwa mond vs harmo ssio kiba tena
 
Kubali kukosolewa..na ukubali kubadilika.
Kwahiyo hujui matumizi ya naandishi makubwa au kuacha paragraph.?
Sasa si ndio nataka unifundishe mzee wa linguistic, kiswahili na fasihi andishi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hivi huwa nashangaa sana haya mambo. kwani kuna mtu alishikiwa mtutu wa bunduki kusaini hiyo mikataba? Au tunakuja na vimihemko bila kutumia akili kuandika haya mambo? Poleni sana watu msio na akili maana kabla ya kufanya jambo lazima utumie akili. Tujitahidi sana kumuomba Mungu azitengeneze akili zetu ili zitumike vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ