Unyonyaji wa mitandao ya mawasiliano Tanzania kwa watumiaji wake (kukosa haki ya umiliki wa kile ulichonunua)

Unyonyaji wa mitandao ya mawasiliano Tanzania kwa watumiaji wake (kukosa haki ya umiliki wa kile ulichonunua)

Wangoto jr

Member
Joined
Jul 18, 2022
Posts
7
Reaction score
3
Utangulizi

Moja kati ya nyanja zinazo ongoza kwa kunyonyaji wateja wake (watumiaji) katika nchi yetu pendwa ya  Tanzania. Basi huwezi acha zungumzia makampuni ya simu za mawasiliano ya hapa kwetu Tz Zifuatazo ni kelo tunazo kutana nazo watumiaji wa mitandao hii hapa tanzania.

1. Kukosa haki ya kumiliki kile ulicho nunua
Makampunii yote ya mawasiliano hapa tanzania yame jikita zaidi kwenda kujinufaisha yenyewe bilia kuangalia zaidi kipi mteja wake anaweza nufuakia nacho kupitia wao . Mteja ananunua bando kwa pesa yake lakini hapewi haki ya kiukimiliki kile alicho nunua baadalaye anapangiwa mpaka mda wa kutumia kile alicho nunua bila kuangalia wapi aliko na nguvu ya mtandao wa mawasiliano kwa sehemu alipo unafanya kazi kwa ufanisi upi lakini wao bila kuangalia hayo ukifika mda walio kupangia bila kuangalia umetumia kwa asilimia zipi wana kata, nafikili hili mkiwa kama mlivyo jipambanua kua nyinyi ni watu wa jamii (JamiiForums) mna haja ya kutusaidia kwa hili.

2. Makato ya mb kwa watumiaji wa internet
Kwenye hili nafikili wa miliki wa mitandao ya simu wawezi kutuonea huluma . Mtu ananunua Gb1 kwa shilingi elfu 2000 kwa ajili ya matumizi ya siku saba kama wenyewe wanavyo ji nasibu laki cha ajabu katika hili mteja aki washa data katika simu yake na kuingia tu Instagram ile Gb1 haiwezi dumu hata kwa masaa mawili . Hivyo basi kulinga na hali halisi ya uchumi wa nchi hii tunge penda kwa hawa wenzetu wa miliki wa haya makampuni wawezi kutupunguzia bei ya hivi vifulushi kufikia mpaka (mb1 kwa shilingi 1 ya Tanzania)

3. Speed ya mtandao wa intarnet kwa baadhi ya maeneo

Kwavile matumizi ya internet kwa nchi ya Tanzania ni makubwa sana kwa sasa kuliko ueneaji wenyewe wa mtandao kwa baadhi ya maeneo . kwamfano unapo zungumzia maswala yote ya kuomba ajila katika nchi yetu ya Tanzania yana hitaji kwa asilimia kubwa zaidi mtandao wa internet kwavile huko ndiko tunapo ombea ajila , sasa kwa sisi tunao ishi vijijini tunajikuta mpaka tusafili mpaka mijini kufuata intarnet ili uweze kutuma maombi hii inatupa changamoto kwa kiasi kikubwa pale muda wa kutuma maombi unakua mfupi halafu huna kipato cha kukufikisha sehemu ambapo unaweza pata mtandao hivyo tunajikuta tunashindwa kutuma maombi . Kwa hili ningependa hawa wenzetu wangeweza kutufungia hata internet ya 3G kwa sisi watu wa vijijini.

 Hitimisho
Nafikili serikli yetu pendwa ya Tanzania ingeweza kaa chini na hawa wamiliki wa mitando ya mawasiliano wa wezi kututatulia baadhi ya changamoto ainiswa hapo juu . Hususani umiliki wa kile unacho kinunua ( kusiwe na ukomo wa muda kwa vifulushi vya data/dakika tunavyo nunua)
 
Jana nimepigwa MB zangu na halotel sina hamu nimejitahidi kuwapigia lkn hakuna nilichoambulia zaidi ya kuambiwa nizime simu alafu niwashe.

Sikuhizi hii mitandao ya simu wanatupiga kwenye internet Tu kule kwenye muda wa maongezi wateja wamepungua mno
 
Hili suala limepigiwa kelele sana ila ndio hivyo SHIKAMOO SIASA
Viongozi wetu bado wanasita kwenye maamuzi nadhani kwasababu hai ingii akilini yani kwamfano mtu ununue sabuni dukani alafu upangiwe na muda wa kutumia usipo maliza aje aibebe.
 
Jana nimepigwa MB zangu na halotel sina hamu nimejitahidi kuwapigia lkn hakuna nilichoambulia zaidi ya kuambiwa nizime simu alafu niwashe.

Sikuhizi hii mitandao ya simu wanatupiga kwenye internet Tu kule kwenye muda wa maongezi wateja wamepungua mno
Hili ni tatizo kubwa kwa mitandao mingi kwa sasa ndhani miingoni mwa sababu itakua kuzidiwa kwa watumiaji
 
Jana nimepigwa MB zangu na halotel sina hamu nimejitahidi kuwapigia lkn hakuna nilichoambulia zaidi ya kuambiwa nizime simu alafu niwashe.

Sikuhizi hii mitandao ya simu wanatupiga kwenye internet Tu kule kwenye muda wa maongezi wateja wamepungua mno
Sina habari na airtel, bando la wiki limeisha ndani ya siku mbili na kuperuzi ni Twitter/whatsapp na JF basi.
 
Back
Top Bottom