Unywaji Wa maji kupita kiasi.

Unywaji Wa maji kupita kiasi.

Asante mkuu, ila sisikii njaa wala viungo kufa ganzi, ni kiu tu yani bora nisile chakula ila ninywe maji.

vipi kuhusu macho hayaoni vitu viwiliviwili?, vipi kuhusu kuchoka na Usingizi mzito? Unaongea kwa dalili za Sukari kabisa
 
Naona vizuri kabisa mkuu, kiukweli nimekuwa mchovu sana ila nalihusisha na kushindwa kulala kwa utulivu kabisa sababu ya kuamshwa na mkojo. Aiseeee na muda wote napenda kulala kama sio kazi za watu asubuhi wala nisingeamka..

Namnyonyesha na mtoto Wa miezi 7 sasa. Afya yake supa kabisa
Mkuu nimeongeza na hill japo halihusiki sana mradi nipate ushauri kutoka kwa wataalamu.
 
Aisee cheki Sukari. Hizo ni dalili za Sukari kabisa hasa ile ya kupanda
 
Asante mkuu. Naamini mungu atanionyesha njia japo nimeanza kuogopa kiaina dahhh.. Naendelea kujifariji mana uzito wangu na urefu vinaendana..
 
Nakushauri badala yakujishindilia mimaji unaposikia kiu jaribu kula matunda kama matango, matikitiki, miwa ili kuipunguza kiu, nazani mwili wako umeshakua addicted na Maji, ukisikia kiu sio lazima unywe Maji, unaweza jikuta unaflash madini ambayo yanahitajika mwilini. Too much of anything is harmful.
 
Amen, mkuu kuna vizazi bila kuviombea vina laana!
 
Nakushauri badala yakujishindilia mimaji unaposikia kiu jaribu kula matunda kama matango, matikitiki, miwa ili kuipunguza kiu, nazani mwili wako umeshakua addicted na Maji, ukisikia kiu sio lazima unywe Maji, unaweza jikuta unaflash madini ambayo yanahitajika mwilini. Too much of anything is harmful.
Asante kwa ushauri mkuu.
 
kiu unayoongelea hapa ni ipi ya kawaida au ya kwichi kwichi,na maji unayomgelea ni haya haya au ni yale mambo yetu ya kwichi kwichi samahani lakini
 
Mkuu naongelea maji ya kawaida ya kunywa ASANTE.

" heri nusu Shari kuliko Shari kamili"
 
Asante mkuu, ila sisikii njaa wala viungo kufa ganzi, ni kiu tu yani bora nisile chakula ila ninywe maji.

Kama huna ugonjwa wa kisukari, basi nakushauri nenda Muhimbili ukapime ufanyaji kazi wa grand yako ya Thyroid wenda ikawa inafanya kazi chini ya kiwango - watapima damu yako na kujua kama Thyroid ina tatizo au la - natoa ushauri tu, usipuuzie.
 
Kama kweli huna kisukari ...basi una emotional diseases
 
dede8920c130ab807952eca06be75486.jpg
 
Back
Top Bottom