harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,907
Mkuu maelezo yake yanaonyeshe yy ni ke atamjaza nan mimba ssJaza wanawake mimba ili usinywe maji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu maelezo yake yanaonyeshe yy ni ke atamjaza nan mimba ssJaza wanawake mimba ili usinywe maji
Asante mkuu, ila sisikii njaa wala viungo kufa ganzi, ni kiu tu yani bora nisile chakula ila ninywe maji.
Nimekuelewa sana mkuu.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kipindi cha ujauzito kiu inakata
Naona vizuri kabisa mkuu, kiukweli nimekuwa mchovu sana ila nalihusisha na kushindwa kulala kwa utulivu kabisa sababu ya kuamshwa na mkojo. Aiseeee na muda wote napenda kulala kama sio kazi za watu asubuhi wala nisingeamka..vipi kuhusu macho hayaoni vitu viwiliviwili?, vipi kuhusu kuchoka na Usingizi mzito? Unaongea kwa dalili za Sukari kabisa
Naona vizuri kabisa mkuu, kiukweli nimekuwa mchovu sana ila nalihusisha na kushindwa kulala kwa utulivu kabisa sababu ya kuamshwa na mkojo. Aiseeee na muda wote napenda kulala kama sio kazi za watu asubuhi wala nisingeamka..
Namnyonyesha na mtoto Wa miezi 7 sasa. Afya yake supa kabisa
Mkuu nimeongeza na hill japo halihusiki sana mradi nipate ushauri kutoka kwa wataalamu.
Uwasamehe hawajui wayatendao..Kunywa yale madude atoayo mwanaume
Asante kwa ushauri mkuu.Nakushauri badala yakujishindilia mimaji unaposikia kiu jaribu kula matunda kama matango, matikitiki, miwa ili kuipunguza kiu, nazani mwili wako umeshakua addicted na Maji, ukisikia kiu sio lazima unywe Maji, unaweza jikuta unaflash madini ambayo yanahitajika mwilini. Too much of anything is harmful.
Asante mkuu, ila sisikii njaa wala viungo kufa ganzi, ni kiu tu yani bora nisile chakula ila ninywe maji.
Umesoma andiko lake lote?Amesema akishapima Sukari-HanaSukari kapime