min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Mzee wangu mdogo tunamfanyia dialysis mwaka wa tano huu na hajawahi kunywa pombe ya aina yoyote ni mlokole kabisa .Na ni expensivie sana hizo dialysis services , ni familia ngapi au watu wangapi wenye uwezo wa kugharamia hiyo dialysis ambayo ni pesa ndefu kwa mwezi ?
Watu hawatumii akili kabisa
Watu wanatengeneza vifo vyao wenyewe ,ni ujinga
Japo pombe inaweza kuwa chanzo ila tatzo la Figo linachangiwa na mambo mengi.