Mzee wangu mdogo tunamfanyia dialysis mwaka wa tano huu na hajawahi kunywa pombe ya aina yoyote ni mlokole kabisa .Na ni expensivie sana hizo dialysis services , ni familia ngapi au watu wangapi wenye uwezo wa kugharamia hiyo dialysis ambayo ni pesa ndefu kwa mwezi ?
Watu hawatumii akili kabisa
Watu wanatengeneza vifo vyao wenyewe ,ni ujinga
Dawa Fulani hivi ya kifala iliyokuzwa sana na wafanya NGONO ZEMBE kuwa Ina tibu U.T.I (actually wabongo wengi wanadumbukiwa na Chlamydia) maarufu GONOAZUMA ni dawa za nini??
Maana kuna madam nilimsikia anaonbgea na simu anatamka dr kampa hiyo azuma azuma.
Heheheheh aiseena kwanini unywe kupitiliza kuna miamba ikienda bar cret zima linagonga peke yake kwa hali hy figo zisifel tu
Mkuu wewe ulitumia nini hapo Counter??Kuna jamaa tumekaa nae kaunta.....akaanza na nusulita maji kilimanjaro, then konyagi kischana, zikafuata kilimanjaro kubwa 3...naondoka namuacha anaendelea na Drostdy Hof red ile chupa kubwa.
Huo mchanyiko ni Immiscible liquids, hatari sana.
WindhoekMkuu wewe ulitumia nini hapo Counter??
[emoji16][emoji16]ulidhani na yeye alichanganya madudeMkuu wewe ulitumia nini hapo Counter??
Pombe ya kishua hiyo.Hainaga masumu sumuWindhoek
How herbal medicine?Umejuaje pombe ndio chanzo?
Vidababishi vingine
-Chumvi kupiga kiasi
-kukaa na mkojo muda mrefu
-energy drink
- High blood pressure
-Drug abuse
-Herbal medicine
-kutokunywa maji Lita 3
-pombe na sigara
[emoji1787][emoji1787]Fikiria unatunza ini lako weeeee,huku ukinywa vinywaji laini laini ila mwisho unagongwa na treni....what a waste.
South africa hii,ni balaaIngredients unaambiwa mpaka maji ya betri na aina mbalimbali za madawa. Sasa kuna figo na ini litapona hapo?
View attachment 2862157View attachment 2862158View attachment 2862159View attachment 2862160View attachment 2862161View attachment 2862162View attachment 2862163View attachment 2862164
Hata Bongo Wachina wanatengeneza tu majumbani. TBL wamepunguza kutengeneza Konyagi na K-Vant kwa sababu soko liko saturated na fakes...South africa hii,ni balaa
Hata carlsberg, Heineken etcPombe ya kishua hiyo.Hainaga masumu sumu
Kweli aiseeTatizo pombe fake na zile za kienyeji. Hazijapita TBS
Hao wamepinguza uzalishaji coz, walibweteka wakakosa ubunifu, Sawa na maji ya Kilimanjaro. Then sina uhakika kama TBL walishawahi tengeza KvantHata Bongo Wachina wanatengeneza tu majumbani. TBL wamepunguza kutengeneza Konyagi na K-Vant kwa sababu soko liko saturated na fakes...