Unywaji wa pombe una athari mbaya kwenye ubongo, utafiti wabaini

Kitabu gani wameandika haya... Sura na mstari
 
Nionyeshe waliposema divai njema. Walisema alitengeneza divai hawakuspecify

Yn 2:10​

akamwambia, Kila mtu kwanza huandaa divai iliyo njema; hata watu wakiisha kunywa sana ndipo huleta iliyo dhaifu; wewe umeiweka divai iliyo njema hata sasa
 
Yn 2:10​

akamwambia, Kila mtu kwanza huandaa divai iliyo njema; hata watu wakiisha kunywa sana ndipo huleta iliyo dhaifu; wewe umeiweka divai iliyo njema hata sasa
Divai iliyo njema maana yake ni "best wine". Soma Bible ya kiingereza ndo inatoa maana sahihi ...mmekokotoa lugha mnaitafsiri mpendavyo.
 
Divai iliyo njema maana yake ni "best wine". Soma Bible ya kiingereza ndo inatoa maana sahihi ...mmekokotoa lugha mnaitafsiri mpendavyo.
Kwa taarifa yako tafsiri za kiingereza ziko nyingi sana na hazijaandikwa maneno yanayofanana. Ukitaka kupata maana halisi tafuta Biblia iliyotafsiriwa directly from original languages
Divai iliyo njema maana yake ni "best wine". Soma Bible ya kiingereza ndo inatoa maana sahihi ...mmekokotoa lugha mnaitafsiri mpendavyo.
Best wine maana yake non-alcoholic wine. Yesu alitengeneza divai njema, isiyolevya; otherwise asingetuambia hivi:

Efe 5:18​

Tena msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi; bali mjazwe Roho
 
Kwahiyo tafsiri yako wewe ndo sahihi ya wengine ni batili? Nyie walokole mna matatizo sana..
Na wewe umeamua kutafsiri kivyako basi kila mtu afate alivyoelewa.
Ninachoamini Mimi pombe si dhambi bali kulewa na kufanya maovu ndo hapo dhambi inapokuja.

Yaani ninywe nyumbani halafu nilale zangu kwa raha zangu uniambie nimetenda dhambi?

Mtu ukiona pombe inakupeleka vibaya acha. Tuache sie tunaojua kujicontrol.
 
Hakuna divai isiyolewesha, hiyo itakuwa juice
 
Hakuna divai isiyolewesha, hiyo itakuwa juice
Umesoma wapi kwamba waliokunywa divai aliyotengeneza Yesu walilewa? Hawakulewa ndio sababu inaitwa divai njema.
 
Hakukuwa na sababu ya kuandikiwa neno divai kama haikuwa divai.Wangeandika juice tu.
Umesoma wapi kwamba waliokunywa divai aliyotengeneza Yesu walilewa? Hawakulewa ndio sababu inaitwa divai njema.
 
Kuna unywaji wa pombe kali na zisizo kali kila siku,kuna unywaji wa pombe siku 2 kwa wiki,na kuna unywaji wa pombe siku 1 kwa wiki ,kuna unywaji wa pombe na nyama nyingi ,kipi ni kipi ? Pombe inafanya mtu kuwa na furaha akiwa na marafiki ,sasa pombe hatuachi na research iendeleee
 
YEEEEEES!!

Mi simo hapo!!

Nyie endeleeni tu kupiga bia nati zikiwalegea, tuliobaki na ubongo timamu tunawagongea tu wake na mademu zenu!!
 
YEEEEEES!!

Mi simo hapo!!

Nyie endeleeni tu kupiga bia nati zikiwalegea, tuliobaki na ubongo timamu tunawagongea tu wake na mademu zenu!!
Ubongo timamu wa kufuata wake za watu?
 
Adui mkubwa wa Ubongo ni Pombe kali, Porn na puli
 
Nafikiri kuna kiwango ambacho mwili una uwezo wa ku - absolve alcohol - kiwango kikizidi basi pombe inaanza kuathiri ubongo... na hapa ndipo matatizo mengi ya upungufu wa akili yanapoanzia - unakuta mtu anaanza kufikiri kunywa pombe continuous bila kujali kula kwake, familia, kazi etc..

hili ni tatizo kubwa !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…