Unywaji wa pombe una athari mbaya kwenye ubongo, utafiti wabaini

ulevi kupindukia unapelekea kitu tunaita ULAIBU (addicted) mtu akifia hatua hii yaani akiwa na elfu mfukoni, then kichwani minywele mikubwa na kidevu kimechafuka ndevu, basi ile buku 3 ukimwambia achague aende saloon au akanywe bia ...huyo mlevi atachagua BIA ukifia hatua hii ujue kila kitu ktk system ya maisha yako ni KWISHAAAAA
 
Misamiati ya nini??
 
Yaani wewe hamnazo kabisa.... preferences...kunyoa ni muhimu kwako....

Ungesema una laki mfukoni...ukaambiwa cement imeisha...na huna akiba ya bia..unachagua kunyoa nywele...mtoto anatakiwa laki shuleni...utachagua kunyoa???

Tafakar tena. Vuzi linaweza kusubiri
 
Kweli kiwango chako cha kuelewa ni kidogo sanaa
Nimekutolea mfano wa kitu kidogo sana thaman ya pesa iliyo mfukoni ni 3000 tsh
Ada utalipaa buku tatu ?
3000 unapata mfuko wa cement ?
Mlevi addicted hanaa mawazo ya kujenga hata siku moja ....
ACHA KUKURUPUKA
 
Nafikiri kuna kiwango ambacho mwili una uwezo wa ku - absolve alcohol -
Kwa mujibu wa utafiti huo wa Oxford kiwango chochote(kikubwa au kidogo) cha pombe kina athari mbaya kwenye ubongo.
 
Kwa hiyo wewe umesoma hapo tu Halafu ukaja ku generalize?,Soma na hapa Mhubiri 9:7;Mithali 31:6-7;Ambapo Biblia imeruhusu Kutumia Kileo.
 
Huu utafiti ni uongo mtupu,Kuna njemba nimesoma nayo ilikuwa inabugia pombe balaa lkn darasani alikuwa anafanya vizuri Sana.Alikuwa anatumia pombe km kichocheo cha yeye kusoma,hii unaizungumziaje?.
 
Huu utafiti ni uongo mtupu,Kuna njemba nimesoma nayo ilikuwa inabugia pombe balaa lkn darasani alikuwa anafanya vizuri Sana.Alikuwa anatumia pombe km kichocheo cha yeye kusoma,hii unaizungumziaje?.
Alikuwa anatumia pombe kama kichocheo? Kwahiyo bila pombe mtu hasomi. Hapo si tayari ameishaathirika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…