JahManPeace
JF-Expert Member
- Dec 1, 2019
- 473
- 661
Usipo kula chakula kama dawa utakula dawa kama chakula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye maisha kila mtu anapita njia yake.Kwahiyo sio ajabu wewe ambaye hutumii hivyo vitu nfio ukasumbua watu kwa magonjwa ya figo uku ambaye anatumia kila siku asisumbuke.Usichambe kabla ya kunya..... hajasema usipokunywa hufi... ngoja nipoteze mda kukuelewesha.... ni hivi ulitumia saana kama wanavyo fanya hao wanywaji baadae watapata changamoto za kiafya ambazo zitawagharimu saana kiuchumi na hat kifo.... ukinielewa kunya sasa ndo uchambe
Mtu anayetaka maisha mafupi lakini matamu naye utataka kumlazimisha asile na kunywa anachotaka wakati kashakwambia anajua, ila hajali?
Wewe una haki gani ya kumlazimisha mtu mwingine awe na maisha marefu?
Serikali haijaweka sheria ya kuzuia watu kunywa soda, hizo ni shobo zenu tu.Kama serikali inashughulika unapozaliwa, inakupa chanjo, inakusomesha kwa kodi za raia kuwa daktari, mwalimu, nesi n.k au ina kutrain kuwa askari, polisi, kiongozi, jasusi n.k halafu unakufa mapema kizembe si ni hasara kwa nchi?! Hapa lazima kujali kuwepo.
Serikali haijaweka sheria ya kuzuia watu kunywa soda, hizo ni shobo zenu tu.
Ukishamwambia mtu ubaya wa soda, kutoka hapo, uamuzi ni wake.
Hata hiyo chanjo hailazimishwi, itakuwa hiyo soda?
Tumeona watu kibao wamekataa kuchanjwa chanjo ya Covid, katikati ya pandemic.
Mkuu, naona uko na full package.
Mkuu,Serikali haijaweka pia sheria ya kuzuia watu wasivute sigara, ila sio kwamba wanaopiga kelele dhidi ya matumizi ya sigara ni shobo,
ni concerned citizens.
Kemikali ndo niniBora mara mia gongo..inatengenezwa naturally bila kuongezwa kemikali yoyote.
We mzee wenzako wanalima we unakomaa na mitandao ndo mana mvua hazinyeshiPunguza kisirani Dogoo!!!kwa hiyo unalazimisha watu waamini upuuzi wako,,, kwani wakinywa wewe unapungukiwa au unadhurika na nini??acha roho ya kichawi,,,tumia hiyo fursa fungua grocery wauzie upige hela,,,Farlaahhh wee!!!
Ni sawa na malaya akakosa ukimwi bikra akapata so kama utanielewa jiongezeKwenye maisha kila mtu anapita njia yake.Kwahiyo sio ajabu wewe ambaye hutumii hivyo vitu nfio ukasumbua watu kwa magonjwa ya figo uku ambaye anatumia kila siku asisumbuke.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Silaha za maangamizi
Any substance that has a DEFINED composition.Kemikali ndo nini
Sahihi kabisa kiongozi.Usipo kula chakula kama dawa utakula dawa kama chakula
Kweli Kabisa wengi tumeshuhudia hiliUkweli siku zote unauma na watu hawako tayari kuupokea lakini ni ukweli kabisa vinywaji vingi sasa ni silent killer na sababu ni biashara za watu ukiongea hivi unapingwa ni jambo LA msingi kila mmoja awe makini kwa anacho kula na kunywa
Nadhani hiyo miaka 10 baadae itakuwa ni sasa. Nenda pale muhimbili katazame kitengo cha figo. Kule zilipowekwa mashine za kusafisha figo halafu kaongee na wauguzi wakupe takwimu ya idadi ya wagonjwa wanaopokea wenye shida za figo. Utasikitika sana ndugu.Energy drinks niliambiwa zinaumiza sana figo , kama ni kweli miaka 10 ijayo tutarajie kesi nyingi zaidi za magonjwa ya figo na figo kufeli
Ndo waliosema ukiweka mfupa wa paja la kuku kwenye soda ya coca cola, unayeyuka.Hao madokta wenu wa kisabato watawaua kwa hofu
Binadamu wa zamani walishindia matunda na nyama mbichi lakini wako wapi? wamekufa wote
We achana na sisi kufa kupo tu
As long as tunaenjoy
Tusitishane.
Niko napata coka,supu ya makongoro na chapati nne hapa . Alaaah
Profesa janabi amezungumzia hili jana kuwa Muhimbili inaelemewa na wagonjwa wa figo, Kwa siku Inapokea Wagonjwa 120 Hadi 130Nadhani hiyo miaka 10 baadae itakuwa ni sasa. Nenda pale muhimbili katazame kitengo cha figo. Kule zilipowekwa mashine za kusafisha figo halafu kaongee na wauguzi wakupe takwimu ya idadi ya wagonjwa wanaopokea wenye shida za figo. Utasikitika sana ndugu.