Uoga : Eneo lililotajwa kutumika na Lissu kwa Mkutano wa Kampeni Jimbo la Serengeti labadilishwa matumizi

Uzuri Wakurya hawaelewi huo upuuzi waoneeni watu Wamakonde na Korosho zao
 
Hilo ango ni la kihuni kwanini lisimikwe Usiku
Ng'oeni bango watu watafute uhuru wao kutoka katika huu utawala wa mkoloni mweusi
Eneo la nani kamanda, mbona hicho kipande hamuweki wazi. mambo ya kusimamisha usiku au mchana sio issue, bora imesimama.
 
Kwani Magufuli yeye atafanyia wapi akienda Mugumu. Kwa nini ccm wao hawabugudhiwi ktk nchi hii?

Najaribu kupiga picha siku wakitolewa madarakani ndani ya masaa 24 chama kitakuwa mfu kabisa na kusahaulika ktk nchi hii.
 
Kama hilo Bango lingeandikwa kuwa hilo eneo ni la mtu binafsi mbona lingeeleweka

Ila Mkurugenzi anakurupuka baada ya kusikia Chadema wanakuja uweka kambi hapo huo ni uhuni tu.
 
Kama eneo ni la Taasisi au mtu binafsi lazima kuliomba siyo kujiendea tu!! Chadema mnakwama wapi??
 
Kwamba kabla ya Gambo Arusha haikuwa na viwanja ?
Viwanja Vipo.
Lema alikuwa anatumia viwanja vya Shule ya Msingi Ngarenano na Sinon Secondary 2015. Mwaka huu viwanja hivyo hataweza kuvitumia Tena.
 
Kama hilo Bango lingeandikwa kuwa hilo eneo ni la mtu binafsi mbona lingeeleweka

Ila Mkurugenzi anakurupuka baada ya kusikia Chadema wanakuja uweka kambi hapo huo ni uhuni tu.
Hilo eneo ni la Taasisi sasa nyinyi mnaenda tuu!! Mipango yenu ni Zero kabisa!!
 
MWISHO WA CCM MWAKA HUU
 
Kwahiyo hapo unajiona bonge la mtu mahiri kwa hii post yako iliyojaa upumbavu na ujinga?
Pepo wa upumbavu na ujinga toka
 
WAMBIE CHADEMA, WAKAFANYE HAPOHAPO MKUTANO.

ILO BANGO LIMEWEKWA NA WAHUNI WA CCM .

HAMNA CHA UTAWALA WALA BIBI YAKE.
 
Utawala ndo nani? Hao ni wahuni tu waliosimika hilo tangazo. Watakaozingatia tangazo hilo ni wajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…