YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Issue Ni kutii sheria za ardhi vinginevyo mtakuta mnagombana Hadi na wapiga kura wenu kiwanja mfano Cha msikiti,au Kanisa au mtu binafsi au jumuiya fulani Huwezi vamia tu kuwa Mimi nitafanya mkutano hapaKwahiyo hapo unajiona bonge la mtu mahiri kwa hii post yako iliyojaa upumbavu na ujinga?
Pepo wa upumbavu na ujinga toka
Hata viwanja vinavyomilikiwa na manispaa zilizo chini ya mameya wa Chadema viwanja hivyo huombwa unapotamka kutumia havivamiwi tu!!! Kisa vya halmashauri au manispaa au jiji!!!
Chadema utawala wa sheria mnaohubiri wenye akili wameshaanza kuwaona kuwa nyie waongo wakubwa na matapeli Kama mnavyohubiri Uhuru wa habari lakini hamtaki chombo Cha habari kiwe na Uhuru kutangaza chochote inachotaka na kuacha isichotaka Kama mkivyoifanyia TBC kwa kuingilia Uhuru wao wa kuamua watangaze kipi na kuacha kipi
Mnaendelea kupoteza tu point kwa wapiga kura .Utii wa sheria Ni pamoja na kutii sheria za miliki za ardhi
Serengeti Ni mtihani wenu mwingine wa kuonyesha Kama mnayohubiri ya utawala wa sheria mko serious au matapeli wa kisiasa .