Uoga: Kongamano la Katiba lazua balaa Mwanza. RPC aanza kumung'unya maneno, amsingizia Rais

Naona "Mama" yenu mliyemshangilia na kumvisha taji la ukombozi anawanyuka mijeledi ya mwendazake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Vipi Sukuma gang si limeshaisha na nchi tumeifungua?

Upinzani wa kutegemea mwana CCM (Samia Hassan) atimize matakwa yenu Ni bure kabisa!

Ogopeni mwanamke akikasirika maana muda mwingi anajistukia kudharauliwa, mlikosea kuanza kumpa hongera na sifa lukuki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umesikiliza hotuba za Mwamba ?
 
Ila mwanza kuna corona serious naomba chadema acheni kufanya mambo ambayo yanafanywa na ccm pls don't

Corona imetoka kumchukua kaka yake na mbowe lakini hamjaridhika tu mnaenda kwenye risk

Sikubaliani na kauli ya kamanda ila pia sikubaliani na mikutano ya chadema kukusanya watu.

Media zipo wazi sasahivi nendeni uko mkatoe elimu

Juzi Mbowe aliitwa clouds alienda? Nchi ina taharuki ya Miamala, corona sijui sadala yaani upuuzi mtupu

Hebu niacheni Mimi nipige pombe aisee Leo weekend!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…