Uoga: Kongamano la Katiba lazua balaa Mwanza. RPC aanza kumung'unya maneno, amsingizia Rais

Uoga: Kongamano la Katiba lazua balaa Mwanza. RPC aanza kumung'unya maneno, amsingizia Rais

Hawa mbwa hawajui tunatete haki zao na za watoto wao..... Hii nchi ya kipumbavu sn
 
Kwani jamani pamoja na kuambiwa wimbi la tatu lishatua nchini bado chadema wanataka waendelee kukusanya watu tu mbona mwaka Jana waliondoka bungeni eti wanaenda kujikalantini sahivi wanashindwa nini kua na subira mpaka hapo vugu vugu la korona litakapo pungua.
 
Inaonekana wanaoishi Tanzania ni wapangaji, wenye nchi ni Msoga family
 
Ni sawa katiba mpya Ila Nina kaswali ka kizushi.
Je , hao wanaoandaa wangekuwa madarakani kweli wangekomaa kuidai katiba
Hao walioko madarakani wangekuwa hawapo kwenye madaraka Je wasingedai?
 
Ni sawa katiba mpya Ila Nina kaswali ka kizushi.
Je , hao wanaoandaa wangekuwa madarakani kweli wangekomaa kuidai katiba
Ufipa wanapaswa kuonyesha mfano kwa kuanza kubadili katiba ya chama chao iendane na uhalisia wa demokrasia na kumpunguzia madaraka makubwa aliyokua nayo mwenyekit na kuweka ukomo wa kuhudumu kwa viongoz waandamiz.
 
Hii ndio taarifa ya usiku huu kutoka Mwanza kwa hisani ya Maranja Masese

View attachment 1856391
Inchi yangu inawapumbavu wengi sana,

Ukipiga kona mbili tatu, mpinzani anakwambia, Raisi zuwia mikusanyiko ya watu kuna korona,

Ukizunguka kidogo, Njemba inakwambia, Tafadharini Watanzania msije kwenye msiba wa kaka amekufa na korona

Huku na kule, yuleyule anaandaa tena kongamano la katiba

Huo ndio upumbavu naousema kutoka kwa viongozi wapuuzi, Kuweni na msimamo mmoja!

Hivi majuzi, ni nyinyi hao hao ambao mliandika hapa kusema, Mz inapukutika kwa korona, Bugando yazidiwa, waginjwa wakosa mashine za kupumlia

Leo tena nyinyi wale wale, manaandaa kongamano lenye kukusanya watu, Ni ujinga aisee!!
 
Mkizoea zamani kuwatumia wamachinga na bodaboda kufanya vurugu lakini sasa wapo bize kuyengeneza pesa, wanafanya biashara kila sehemu hakuna anayewabughudhi, sasa mnatafuta kuchonganisha kwa kupika maneno ili mpate mass support hakuna kitu ninyi mnaotegemea kutengenezewa uchochezi na bwana twita ambaye anawachota tuu akili na kuwajua vizuri ili aje.awageuke baadaye
 
Sera za mwendazake mama kaanza kuzirithi na kuzienzi eee....ila awe makini asije akarithi kila kitu.

Mama Samia katiba mpya haikwepeki...kuwa makini usipate doa na adhabu ya mwenyezi Mungu.

Wacheni wakutane - Dhambi ipo wapi? CCM acheni uoga wa kitoto.
 
Lisemwalio lipo...

Mkuu wa mkoa ana maoni gani?
 
8860003675.jpg
 
Naona "Mama" yenu mliyemshangilia na kumvisha taji la ukombozi anawanyuka mijeledi ya mwendazake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Vipi Sukuma gang si limeshaisha na nchi tumeifungua?

Upinzani wa kutegemea mwana CCM (Samia Hassan) atimize matakwa yenu Ni bure kabisa!

Ogopeni mwanamke akikasirika maana muda mwingi anajistukia kudharauliwa, mlikosea kuanza kumpa hongera na sifa lukuki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Saaaaagudaaaa sasagudaaaaaa nakuitaaa kwa sauti Saguda47 mtu wangu Dogo Saguda47 bado unazile ruby rangi ya marvy???
 
Huu ni ushahidi tosha kwamba UDIKTETA bado unaendelea nchini kwa kasi ile ile ya dhalimu mwendazake. Kama RPC kasema uongo Samia akanushe.
Tundu Lissu alionya kuwa ni mapema mno kumuamini Samia, CCM ni ile ile. Hawa mpaka watu wapasuane ndiyo wataelewa somo.
 
Ni sawa katiba mpya Ila Nina kaswali ka kizushi.
Je , hao wanaoandaa wangekuwa madarakani kweli wangekomaa kuidai katiba
Logic ya swali lako ni ipi kwani...?

Mimi naliona kama ni la kipumbavu kwelikweli, halina maana, halina mantiki...
 
Ni sawa katiba mpya Ila Nina kaswali ka kizushi.
Je , hao wanaoandaa wangekuwa madarakani kweli wangekomaa kuidai katiba
Wao wameahidi kuleta katiba mpya. Hawana mizigo kama ccm, kwa hiyo uwezekano wa kutekeleza ni mkubwa zaidi kwa wapinzani kuliko kwa ccm.
Kwenye mfumo wa Muungano, ccm wanalazimisha Serikali 2 kwa sababu tu ulikuwa msimamo wa Nyerere. Wapinzani hawana hangover hiyo
 
Back
Top Bottom