Uoga: Kongamano la Katiba lazua balaa Mwanza. RPC aanza kumung'unya maneno, amsingizia Rais

Very stupid hypothetical question. Ask a sensible question
You're very right bro/sister Mana from lizard,mammals brain to cortex brain Zina process information tofauti kabisa.
Some are linear thinker others are lateral thinkers.
Some people see details while others see big picture.
Pia ni maoni yako so una Uhuru.
Nimeuliza Kama hao wanaotaka kudai katiba wangekuwa wao ndio wako madarakani wanakula Ile keki na asali ya Taifa Ana trilioni zake kadhaa uswisi je angeweza kweli kuiwazia katiba mpya.
So nikataka tuwe transparent
 
Ila kwakweli alianza vizuri, hivyo haikiwa kosa kumsifia pale meanzo mana tulitoka utumeani balaa.
Pia kumpinga au kumkosoa anavyo haribu ni sawa pia.
 
Huyo mwenezi wa CCM ana speciality gani?
Ni kukosa nguvu za kisiasa kwa CCM kwa wananchi, tegemeo lililo baki ni nguvu za jeshi
 
CHADEMA kimekuwa na wajinga wengi sana. Yaani chama kimekosa dira.
 
Wafuasi wa chadema wamechoma moto ofisi ya kata huko mkoani Songwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…