kubwa jinga jr
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 292
- 309
Huo mtego wako si mzuri ukizingatia hiyo wizara wamepewa wanajeshisalaam wadau
Naomba niingie Kwenye mada moja kwa moja,Baada ya kuingia Chaka nimeibuka na biashara moja Nzuri tu kwa aliye tayari,
biashara yenyewe natafuta wateja nina meno matano ya tembo makubwa,pembe moja ya faru na ngozi moja ya chui bei nzuri ila sitaki dalali na vizuri mnunuzi uje tuonane
usafiri wa kukuletea mpaka ulipo upo,jamani uoga wako ndio umaskini wako,jamani nchi hii ipofikia kila mmoja achukue chake mapema
kama upo tayari njoo pm tuyapange
ahsanteni
Kuna vichwa vya vya garimoshi bandarini havina mwenyewe tuanze na hivyo kwanzasalaam wadau
Naomba niingie Kwenye mada moja kwa moja,Baada ya kuingia Chaka nimeibuka na biashara moja Nzuri tu kwa aliye tayari,
biashara yenyewe natafuta wateja nina meno matano ya tembo makubwa,pembe moja ya faru na ngozi moja ya chui bei nzuri ila sitaki dalali na vizuri mnunuzi uje tuonane
usafiri wa kukuletea mpaka ulipo upo,jamani uoga wako ndio umaskini wako,jamani nchi hii ipofikia kila mmoja achukue chake mapema
kama upo tayari njoo pm tuyapange
ahsanteni
Utaendeshea kwenye reli ya nani ya huyu huyu msukuma?Kuna vichwa vya vya garimoshi bandarini havina mwenyewe tuanze na hivyo kwanza
mkuu kama unao uwezo wa kivileta hapa maskani kuna mteja fasta tunachukua dinheiro ...Kuna vichwa vya vya garimoshi bandarini havina mwenyewe tuanze na hivyo kwanza
Kuna vichwa vya vya garimoshi bandarini havina mwenyewe tuanze na hivyo kwanza
Ya serikaliUtaendeshea kwenye reli ya nani ya huyu huyu msukuma?
Atalipia usafiri?mkuu kama unao uwezo wa kivileta hapa maskani kuna mteja fasta tunachukua dinheiro ...
saafi mkuu naona wewe michongo yako imesimama naishi mkuranga nahitaji kifaru kwa bei yeyote!Ya serikali
Tukutane kibiti njiapanda ya Nyamisati pale Bungu tufanye mambosaafi mkuu naona wewe michongo yako imesimama naishi mkuranga nahitaji kifaru kwa bei yeyote!
ok wacha tukuandalie mpango wako wa malipo kwa pesa za kigen!Tukutane kibiti njiapanda ya Nyamisati pale Bungu tufanye mambo
mkuu wacha nimtafute katibu mkuu wa green party hizo ndio deal zakesalaam wadau
Naomba niingie Kwenye mada moja kwa moja,Baada ya kuingia Chaka nimeibuka na biashara moja Nzuri tu kwa aliye tayari,
biashara yenyewe natafuta wateja nina meno matano ya tembo makubwa,pembe moja ya faru na ngozi moja ya chui bei nzuri ila sitaki dalali na vizuri mnunuzi uje tuonane
usafiri wa kukuletea mpaka ulipo upo,jamani uoga wako ndio umaskini wako,jamani nchi hii ipofikia kila mmoja achukue chake mapema
kama upo tayari njoo pm tuyapange
ahsanteni
we jamaa nahisi kama nilishakuona sehemu flani hivi maeneo ya visiwa vya ukerewe!salaam wadau
Naomba niingie Kwenye mada moja kwa moja,Baada ya kuingia Chaka nimeibuka na biashara moja Nzuri tu kwa aliye tayari,
biashara yenyewe natafuta wateja nina meno matano ya tembo makubwa,pembe moja ya faru na ngozi moja ya chui bei nzuri ila sitaki dalali na vizuri mnunuzi uje tuonane
usafiri wa kukuletea mpaka ulipo upo,jamani uoga wako ndio umaskini wako,jamani nchi hii ipofikia kila mmoja achukue chake mapema
kama upo tayari njoo pm tuyapange
ahsanteni
mkuu ondoa shaka umeipata na ninamzigo mwengine wa ngozi ya kenge pia ipo kama unaitaji poa tuongee bei tuwe jamaa nahisi kama nilishakuona sehemu flani hivi maeneo ya visiwa vya ukerewe!
by the way mie nahitaji ngozi ya mamba, kuna mzee mmoja kaniuzia lakini ni kipande kidogo tofauti na nilivyohitaji hivyo ukipata nistue.
mkuu kwani wajeda sio watu?Hiyo wizara si imepewa wajeda!!
Kama vichwa vya garimoshi vimekuja na havina mwenyewe mpaka leo!!!
kuu nilitaka ngozi ya mamba mweusi mkubwa, niliagizwa na mganga wangu!mkuu ondoa shaka umeipata na ninamzigo mwengine wa ngozi ya kenge pia ipo kama unaitaji poa tuongee bei tu
mkuu utatoa ngapi ivo vitu vinapatika bila ya tabu wewe tu. mpunga upo?saafi mkuu naona wewe michongo yako imesimama naishi mkuranga nahitaji kifaru kwa bei yeyote!