uoga Wako ndio umasikini wako

uoga Wako ndio umasikini wako

kubwa jinga jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2017
Posts
292
Reaction score
309
salaam wadau
Naomba niingie Kwenye mada moja kwa moja,Baada ya kuingia Chaka nimeibuka na biashara moja Nzuri tu kwa aliye tayari,
biashara yenyewe natafuta wateja nina meno matano ya tembo makubwa,pembe moja ya faru na ngozi moja ya chui bei nzuri ila sitaki dalali na vizuri mnunuzi uje tuonane

usafiri wa kukuletea mpaka ulipo upo,jamani uoga wako ndio umaskini wako,jamani nchi hii ipofikia kila mmoja achukue chake mapema

kama upo tayari njoo pm tuyapange
ahsanteni
 
Huo mtego wako si mzuri ukizingatia hiyo wizara wamepewa wanajeshi
 
salaam wadau
Naomba niingie Kwenye mada moja kwa moja,Baada ya kuingia Chaka nimeibuka na biashara moja Nzuri tu kwa aliye tayari,
biashara yenyewe natafuta wateja nina meno matano ya tembo makubwa,pembe moja ya faru na ngozi moja ya chui bei nzuri ila sitaki dalali na vizuri mnunuzi uje tuonane

usafiri wa kukuletea mpaka ulipo upo,jamani uoga wako ndio umaskini wako,jamani nchi hii ipofikia kila mmoja achukue chake mapema

kama upo tayari njoo pm tuyapange
ahsanteni
Kuna vichwa vya vya garimoshi bandarini havina mwenyewe tuanze na hivyo kwanza
 
mkuu unafanya kazi ghala la maliasili nini,sema wacha nikufuate pm tukitoka hapa nina mchongo wa sare za jeshi
 
salaam wadau
Naomba niingie Kwenye mada moja kwa moja,Baada ya kuingia Chaka nimeibuka na biashara moja Nzuri tu kwa aliye tayari,
biashara yenyewe natafuta wateja nina meno matano ya tembo makubwa,pembe moja ya faru na ngozi moja ya chui bei nzuri ila sitaki dalali na vizuri mnunuzi uje tuonane

usafiri wa kukuletea mpaka ulipo upo,jamani uoga wako ndio umaskini wako,jamani nchi hii ipofikia kila mmoja achukue chake mapema

kama upo tayari njoo pm tuyapange
ahsanteni
mkuu wacha nimtafute katibu mkuu wa green party hizo ndio deal zake
 
Hiyo wizara si imepewa wajeda!!

Kama vichwa vya garimoshi vimekuja na havina mwenyewe mpaka leo!!!
 
salaam wadau
Naomba niingie Kwenye mada moja kwa moja,Baada ya kuingia Chaka nimeibuka na biashara moja Nzuri tu kwa aliye tayari,
biashara yenyewe natafuta wateja nina meno matano ya tembo makubwa,pembe moja ya faru na ngozi moja ya chui bei nzuri ila sitaki dalali na vizuri mnunuzi uje tuonane

usafiri wa kukuletea mpaka ulipo upo,jamani uoga wako ndio umaskini wako,jamani nchi hii ipofikia kila mmoja achukue chake mapema

kama upo tayari njoo pm tuyapange
ahsanteni
we jamaa nahisi kama nilishakuona sehemu flani hivi maeneo ya visiwa vya ukerewe!
by the way mie nahitaji ngozi ya mamba, kuna mzee mmoja kaniuzia lakini ni kipande kidogo tofauti na nilivyohitaji hivyo ukipata nistue.
 
mkuu ondoa shaka umeipata na ninamzigo mwengine wa ngozi ya kenge pia ipo kama unaitaji poa tuongee bei tu
 
Back
Top Bottom