kubwa jinga jr
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 292
- 309
salaam wadau
Naomba niingie Kwenye mada moja kwa moja,Baada ya kuingia Chaka nimeibuka na biashara moja Nzuri tu kwa aliye tayari,
biashara yenyewe natafuta wateja nina meno matano ya tembo makubwa,pembe moja ya faru na ngozi moja ya chui bei nzuri ila sitaki dalali na vizuri mnunuzi uje tuonane
usafiri wa kukuletea mpaka ulipo upo,jamani uoga wako ndio umaskini wako,jamani nchi hii ipofikia kila mmoja achukue chake mapema
kama upo tayari njoo pm tuyapange
ahsanteni