Uonevu dhidi ya Mbowe: Viongozi wa dini toeni kauli ya kitume

Uonevu dhidi ya Mbowe: Viongozi wa dini toeni kauli ya kitume

alikuwa hajajua kama ni gaidi, gaidi ni gaidi tu. kwamwulizeni zitto na dr slaa wanamjua.
Angekuwa gaidi kweli najua 100% wewe mwenyewe ungeweka ushahidi hapa, siyo kuniambia niende kwa kina Zitto!
 
Jaribu tu taratibu kuwalist viongozi wote wa dini kichwani kwako, tafakari wale viongozi wote wa mabaraza ya dini ukristo, uislamu na wengineo...

Halafu niambie ni nani atayeweza kuendana na unachokishauri?

Wakati wale viongozi ndio huwa waalikwa wakubwa wa CCM kwenye hadhira kubwa, au mikutano ya kufunga na kufungua kampeni za CCM n.k
Wazee wa mabaraza ya ubwabwa sidhani kama wana ubavu au uhalali wa kukemea maovu
 
Mbowe na wenzake ni magaidi.

hatuko tayari kuwatetea watu amabao wanahatarisha usalama wa nchi yetu, kamwe hili haliwezi kuvumiliwa.

Mbowe na genge lake ni wahalifu kama wahalifu wengine. ila Mbowe alijificha kwenye uongozi wa chama na madai ya katiba mpya akijaribu kuwahadaa watanzani na dunia kumbe ni muhalifu wa vitendo vya kigaidi.
 
Najaribu kutafakari ni kiongozi gani wa dini mwenye kuweza kufuata ushauri wako...sioni kama yupo!
Wapo wengi tu,Shida wakijitokeza tu wakiletewa misaada itaambiwa inafadhili siasa.
 
Jaribu tu taratibu kuwalist viongozi wote wa dini kichwani kwako, tafakari wale viongozi wote wa mabaraza ya dini ukristo, uislamu na wengineo...

Halafu niambie ni nani atayeweza kuendana na unachokishauri?

Wakati wale viongozi ndio huwa waalikwa wakubwa wa CCM kwenye hadhira kubwa, au mikutano ya kufunga na kufungua kampeni za CCM n.k
Subiri uanze kusikia kwenye nyuma za ibada.Utasikia tujihadhari nchi tumeingia kwenye ugaidi.wanamafumbo Fulani ambayo ni ngumu kuwaelewa
 
Usiseme watanzania wote, mimi binafsi yangu Sina uhakika kama anaonewa au laah, Kwa sababu mpaka saizi hakuna ushahidi unaonesha hausiki na wala hakuna ushahidi unaonesha anahusika.
Suala hili linahusu usalama wa taifa ebu tuache vyombo vya usalama vifanye kazi yake
 
1627023476707.png
 
Naona Tanzania wanautamani sana ugaidi. Wanaulilia kwa bidii wakiuhitaji utoke huko kuzimu uliko ili wauone.

Sasa kwa sababu wamekuja watu waliotayari kuupokea naamini wataupata.

Mimi kumuumba Mungu ni kwamba namuomba aniepushe na madhara ya ugaidi ila simuombi auepushe ugaidi maana watawala wanaulilia na kuutamani kwa sasa hivi.

Muumba simamia matendo ya haki nao wenye haki walipe haki yao na wauvu washushwe kuzimu kwa aibu maana ndiyo stahiki na haki yao
 
Wamezingua hata posho aliyotoa mama, wamawilayani wanalalamika eti mgao wao wakakarabati sijui nini kilingua, wezi tu hao!
 
Naona Tanzania wanautamani sana ugaidi. Wanaulilia kwa bidii wakiuhitaji utoke huko kuzimu uliko ili wauone.
Sasa kwa sababu wamekuja watu waliotayari kuupokea naamini wataupata.
Mimi kumuumba Mungu ni kwamba namuomba aniepushe na madhara ya ugaidi ila simuombi auepushe ugaidi maana watawala wanaulilia na kuutamani kwa sasa hivi.
Muumba simamia matendo ya haki nao wenye haki walipe haki yao na wauvu washushwe kuzimu kwa aibu maana ndiyo stahiki na haki yao
Time will tell
 
Kwamba jamaa ni gaidi 😀 safari hii watambinya sana

Yaani hata sio jambo la kucheka, bali ni aibu kwa taasisi zetu za usalama kufanya igizo la kitoto kama hilo. Halafu unakuta ni watu wazima na wengine wazee wanafanya huo utoto. Watu wanahitaji katiba mpya, watu wa usalama wako usingizini wanasubiri kuagizwa na wanasiasa kutunga tuhuma za kitoto, na wanalipwa mshahara!
 
Hata hao viongozi wa dini kutolea tamko huu utoto unaiofanywa na serikali ni kupoteza muda. Yaani ni utoto wa hali ya juu kufanywa na vyombo vya dola.
 
Back
Top Bottom