Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani alipokuwa anapanga maandamano aliomba ushauri kwa watumishi wa Mungu? Alianza peke yake na alinywe peke yake!!Najaribu kutafakari ni kiongozi gani wa dini mwenye kuweza kufuata ushauri wako...sioni kama yupo!
Viongozi wa kiroho waliunga mkono kwa dhati rasimu ya katiba mpya ya Tume ya Warioba. Haya ya ugaidi dhidi ya Mbowe ni mbinu ya kuzima moto mpya wa katiba mpya. Njia mojawapo ya viongozi wa kiroho kunusuru taifa letu sasa ni kuonyesha kuwa bado wanaunga mkono rasimu Tume ya Warioba ya katiba mpya. Watanzania wengi walitarajia kasikia kauli za viongozi wa kiroho kuhusu uchaguzi mkuu wa 2020 lakini mpaka sasa kimya. Kwa hali ilivyo sasa viongozi wetu wa kiroho wakiendelea kuwa kimya sijui watakuja kukemea maovu gani katika jamii na taifa letu wakasikilizwa.Uzi huu ni mahsusi kwa viongozi wetu wa kiroho (maaskofu na mashehe)
Hakuna Mtanzania (wakiwemo viongozi wa serekali wenyewe) asiyejua kuwa kukamatwa na kufunguliwa mashtaka ya kubambikwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe ni nia ovu ya kutaka kumkata makali katika adhma yake ya kupigania haki kwa watu wote hapa nchini kwetu.
Kwa ajili ya muktadha tu.
Mbowe ni mzazi.
Mbowe ni kiongozi wa siasa anayeheshimika barani kote Africa and beyond.
Mbowe ni mfanyabiashara mwadilifu - vinginevyo angekuwa tayari amebambikiwa makosa ya uhujumu uchumi siku nyingi
Baba yake Mbowe alipigania uhuru wa nchi hii, hivyo Freeman ni mtu ambaye damu yake imeshikamanishwa moja kwa moja na uhuru wa Tanganyika / Tanzania
Mbowe ni mtoto wa kiroho wa baba wa taifa Mwalimu JKN (Mungu amrehemu)
Viongozi wetu wa kiroho simameni mhesabike. Tunajua mnajua tunajua mnajua tunajua kwamba Mbowe anaonewa na serekali. Sababu za kuonewa kwake sihitaji kuzirudia hapa kwani zipo well documented.
Haya mambo ya kuonewa na kunyanyaswa chini ya serekali ya CCM ni suala la zamu. Usiponyanyaswa leo, ipo siku yako huko mbeleni inakuja - bila kujali wewe ni mtumishi wa Mungu au la. Anaweza kuja kutokea kiongozi mwingine wa hovyo zaidi kuliko hawa waliopo sasa kwa utashi wake tu akaitumia katiba hii kuwasulubu ninyi viongozi wa kiroho. Hahitajiki nabii kuliona hili likija huko mbeleni.
Kwa sababu sasa wamejitokeza watu jasiri walioamua kusimama kwa niaba yetu, hakuna wakati muafaka mwingine zaidi kwenu viongozi wa kiroho kupaza sauti zenu ili Mungu akapate kutenda kupitia kwenu haki ipate kutamalaki katika taifa letu alilotupa Mungu mwenyewe, sawasawa na maandiko matakatifu katika Biblia (Zaburi 7:11)
Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali
Baada ya upekuzi wa Polisi kukamilika nyumbani Kwa M.Kiti Mbowe, tumepokea taarifa za kushtua na kushangaza kuwa Polisi wamemwambia kuwa ataunganishwa kwenye kesi ya Ugaidi na watuhumiwa walioko gereza mojawapo DSM. Tutaendelea kutoa taarifa za kina hapo baadaye. ==== UPDATES; =====...www.jamiiforums.com
View attachment 1864186
Shehe ponda na askofu bagonzaNajaribu kutafakari ni kiongozi gani wa dini mwenye kuweza kufuata ushauri wako...sioni kama yupo!
Mtoto akikosea pamoja na kufanya utoto lazima akemewe
Mmoja wa wachache sana wanaojitambua huyu hapa...Kama ingekuwa ni watoto sawa, sio hayo majitu mazima na mengine mazee yanafanya huo upuuzi. Wameshindwa hata kumkamata aliyejiunganishia bomba la mafuta wamebaki kufanya sinema za kitoto. Hao ni kuwapuuza tu.
Kwani mwamakula hajatoa kauli?Uzi huu ni mahsusi kwa viongozi wetu wa kiroho (maaskofu na mashehe)
Hakuna Mtanzania (wakiwemo viongozi wa serekali wenyewe) asiyejua kuwa kukamatwa na kufunguliwa mashtaka ya kubambikwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe ni nia ovu ya kutaka kumkata makali katika adhma yake ya kupigania haki kwa watu wote hapa nchini kwetu.
Kwa ajili ya muktadha tu.....
Mbowe ni mzazi.
Mbowe ni kiongozi wa siasa anayeheshimika barani kote Africa and beyond.
Mbowe ni mfanyabiashara mwadilifu - vinginevyo angekuwa tayari amebambikiwa makosa ya uhujumu uchumi siku nyingi
Baba yake Mbowe alipigania uhuru wa nchi hii, hivyo Freeman ni mtu ambaye damu yake imeshikamanishwa moja kwa moja na uhuru wa Tanganyika / Tanzania
Mbowe ni mtoto wa kiroho wa baba wa taifa Mwalimu JKN (Mungu amrehemu)
Viongozi wetu wa kiroho simameni mhesabike. Tunajua mnajua tunajua mnajua tunajua kwamba Mbowe anaonewa na serekali. Sababu za kuonewa kwake sihitaji kuzirudia hapa kwani zipo well documented.
Haya mambo ya kuonewa na kunyanyaswa chini ya serekali ya CCM ni suala la zamu. Usiponyanyaswa leo, ipo siku yako huko mbeleni inakuja - bila kujali wewe ni mtumishi wa Mungu au la. Anaweza kuja kutokea kiongozi mwingine wa hovyo zaidi kuliko hawa waliopo sasa kwa utashi wake tu akaitumia katiba hii kuwasulubu ninyi viongozi wa kiroho. Hahitajiki nabii kuliona hili likija huko mbeleni.
Kwa sababu sasa wamejitokeza watu jasiri walioamua kusimama kwa niaba yetu, hakuna wakati muafaka mwingine zaidi kwenu viongozi wa kiroho kupaza sauti zenu ili Mungu akapate kutenda kupitia kwenu haki ipate kutamalaki katika taifa letu alilotupa Mungu mwenyewe, sawasawa na maandiko matakatifu katika Biblia (Zaburi 7:11)
Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali
Baada ya upekuzi wa Polisi kukamilika nyumbani Kwa M.Kiti Mbowe, tumepokea taarifa za kushtua na kushangaza kuwa Polisi wamemwambia kuwa ataunganishwa kwenye kesi ya Ugaidi na watuhumiwa walioko gereza mojawapo DSM. Tutaendelea kutoa taarifa za kina hapo baadaye. ==== UPDATES; =====...www.jamiiforums.com
View attachment 1864186
Kweli. Viongozi wa kiroho hawahitaji kutolea kauli maigizo ya wanasiasa kama haya. Badala yake wanastahili kutolea matamko mambo ya msingi yanayotatiza taifa kwa kipindi hiki. Ukweli ni haya maigizo ni mkakati wa watawala wetu kuzima madai ya katiba mpya. Tunajua kuwa viongozi wa kiroho waliunga mkono kwa dhati rasimu ya katiba mpya ya Tume. Hoja kubwa ya kisiasa inayotugombanisha sasa hivi kama taifa ni katiba mpya. Viongozi wa kiroho wanayo nafasi kubwa kunusuru taifa kwa kuliwezesha kuvuka kiunzi hiki cha katiba mpya.Hata hao viongozi wa dini kutolea tamko huu utoto unaiofanywa na serikali ni kupoteza muda. Yaani ni utoto wa hali ya juu kufanywa na vyombo vya dola.
Tuwaachie jeshi la polisi wakamilishe upelelezi na kisha mahakama ifanye kazi yake mbivu na mbichi zitajulikana. viongozi wa dini waendelee kuhubiri amani.Uzi huu ni mahsusi kwa viongozi wetu wa kiroho (maaskofu na mashehe)
Hakuna Mtanzania (wakiwemo viongozi wa serekali wenyewe) asiyejua kuwa kukamatwa na kufunguliwa mashtaka ya kubambikwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe ni nia ovu ya kutaka kumkata makali katika adhma yake ya kupigania haki kwa watu wote hapa nchini kwetu.
Kwa ajili ya muktadha tu.....
Mbowe ni mzazi.
Mbowe ni kiongozi wa siasa anayeheshimika barani kote Africa and beyond.
Mbowe ni mfanyabiashara mwadilifu - vinginevyo angekuwa tayari amebambikiwa makosa ya uhujumu uchumi siku nyingi
Baba yake Mbowe alipigania uhuru wa nchi hii, hivyo Freeman ni mtu ambaye damu yake imeshikamanishwa moja kwa moja na uhuru wa Tanganyika / Tanzania
Mbowe ni mtoto wa kiroho wa baba wa taifa Mwalimu JKN (Mungu amrehemu)
Viongozi wetu wa kiroho simameni mhesabike. Tunajua mnajua tunajua mnajua tunajua kwamba Mbowe anaonewa na serekali. Sababu za kuonewa kwake sihitaji kuzirudia hapa kwani zipo well documented.
Haya mambo ya kuonewa na kunyanyaswa chini ya serekali ya CCM ni suala la zamu. Usiponyanyaswa leo, ipo siku yako huko mbeleni inakuja - bila kujali wewe ni mtumishi wa Mungu au la. Anaweza kuja kutokea kiongozi mwingine wa hovyo zaidi kuliko hawa waliopo sasa kwa utashi wake tu akaitumia katiba hii kuwasulubu ninyi viongozi wa kiroho. Hahitajiki nabii kuliona hili likija huko mbeleni.
Kwa sababu sasa wamejitokeza watu jasiri walioamua kusimama kwa niaba yetu, hakuna wakati muafaka mwingine zaidi kwenu viongozi wa kiroho kupaza sauti zenu ili Mungu akapate kutenda kupitia kwenu haki ipate kutamalaki katika taifa letu alilotupa Mungu mwenyewe, sawasawa na maandiko matakatifu katika Biblia (Zaburi 7:11)
Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali
Baada ya upekuzi wa Polisi kukamilika nyumbani Kwa M.Kiti Mbowe, tumepokea taarifa za kushtua na kushangaza kuwa Polisi wamemwambia kuwa ataunganishwa kwenye kesi ya Ugaidi na watuhumiwa walioko gereza mojawapo DSM. Tutaendelea kutoa taarifa za kina hapo baadaye. ==== UPDATES; =====...www.jamiiforums.com
View attachment 1864186
Magufuli naye alikuwa anawataka viongozi wahubiri amani hivi hivi. Kilichompata March 17 anakijua mwenyewe!Tuwaachie jeshi la polisi wakamilishe upelelezi na kisha mahakama ifanye kazi yake mbivu na mbichi zitajulikana. viongozi wa dini waendelee kuhubiri amani.
Kwani Bagonza, Mwamakula na Ponda wanasemaje wao?Uzi huu ni mahsusi kwa viongozi wetu wa kiroho (maaskofu na mashehe)
Hakuna Mtanzania (wakiwemo viongozi wa serekali wenyewe) asiyejua kuwa kukamatwa na kufunguliwa mashtaka ya kubambikwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe ni nia ovu ya kutaka kumkata makali katika adhma yake ya kupigania haki kwa watu wote hapa nchini kwetu.
Kwa ajili ya muktadha tu.
Mbowe ni mzazi.
Mbowe ni kiongozi wa siasa anayeheshimika barani kote Africa and beyond.
Mbowe ni mfanyabiashara mwadilifu - vinginevyo angekuwa tayari amebambikiwa makosa ya uhujumu uchumi siku nyingi
Baba yake Mbowe alipigania uhuru wa nchi hii, hivyo Freeman ni mtu ambaye damu yake imeshikamanishwa moja kwa moja na uhuru wa Tanganyika / Tanzania
Mbowe ni mtoto wa kiroho wa baba wa taifa Mwalimu JKN (Mungu amrehemu)
Viongozi wetu wa kiroho simameni mhesabike. Tunajua mnajua tunajua mnajua tunajua kwamba Mbowe anaonewa na serekali. Sababu za kuonewa kwake sihitaji kuzirudia hapa kwani zipo well documented.
Haya mambo ya kuonewa na kunyanyaswa chini ya serekali ya CCM ni suala la zamu. Usiponyanyaswa leo, ipo siku yako huko mbeleni inakuja - bila kujali wewe ni mtumishi wa Mungu au la. Anaweza kuja kutokea kiongozi mwingine wa hovyo zaidi kuliko hawa waliopo sasa kwa utashi wake tu akaitumia katiba hii kuwasulubu ninyi viongozi wa kiroho. Hahitajiki nabii kuliona hili likija huko mbeleni.
Kwa sababu sasa wamejitokeza watu jasiri walioamua kusimama kwa niaba yetu, hakuna wakati muafaka mwingine zaidi kwenu viongozi wa kiroho kupaza sauti zenu ili Mungu akapate kutenda kupitia kwenu haki ipate kutamalaki katika taifa letu alilotupa Mungu mwenyewe, sawasawa na maandiko matakatifu katika Biblia (Zaburi 7:11)
Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali
Baada ya upekuzi wa Polisi kukamilika nyumbani Kwa M.Kiti Mbowe, tumepokea taarifa za kushtua na kushangaza kuwa Polisi wamemwambia kuwa ataunganishwa kwenye kesi ya Ugaidi na watuhumiwa walioko gereza mojawapo DSM. Tutaendelea kutoa taarifa za kina hapo baadaye. ==== UPDATES; =====...www.jamiiforums.com
We ombea tu ugaidi siku ugaidi ukikuathiri ndo utapata akiliMnafanya ugaidi alafu mnakimbilia kwa wakuu wa dini, hapa mtawapa wale mnaowatumiaga miamala na wanatumia jina la dini kama kivuli tu
Tuwaachie jeshi la polisi wakamilishe upelelezi na kisha mahakama ifanye kazi yake mbivu na mbichi zitajulikana. viongozi wa dini waendelee kuhubiri amani.