Uonevu dhidi ya Mbowe: Viongozi wa dini toeni kauli ya kitume

Viongozi wa kisiasa haiwezekani kuwa magaidi?
 
Mnafanya ugaidi alafu mnakimbilia kwa wakuu wa dini, hapa mtawapa wale mnaowatumiaga miamala na wanatumia jina la dini kama kivuli tu
Unajua maana ya ugaidi wewe? Unamkumbuka rwakatare? Case yake iliishia wapi???
 
Narudia tena, unajua ugaidi au unaendekeza Siasa chafu?
Nitaendelea kukuuliza swali hili mpaka utakapo lijibu ndio tutaendelea na mjadala.

Viongozi wa kisiasa haiwezekani kuwa magaidi??
 
Acha utoto dogo.
Nadhani hapa mtoto ni wewe unaye shindwa kujibu maswali badala yake umekalia jazba,dhihaka na porojo tu.

Nimekuuliza swali jepesi tu

Viongozi wa kisiasa haiwezekani kuwa magaidi??

Jibu swali mkubwa wangu.
 
 
Hawawezi.. wanaangalia matumbo yao tu
 
Hawa watu wanajichanganya sana na mwisho wao utakuwa wa aibu kubwa - kama siyo fatal kabisa.

Kujichanganyikiwa ni dalili ya watu wanaochungulia mauti - kumbuka wiki chache kabla ya tarehe 17 March jinsi Magufuli alivyokuwa akichanganya madesa. Alifikia mahali akasahau kuwa siku ina masaa 24!
 
Reactions: BAK
Wakati anampiga mkwara rais na kumtisha mara wataingia barabarani mara tutatumia wembe ule ule mlikuwa mnadhani rais atakaa kimya?
Huyo dickteta wenu atajua tuna Mungu
 
Wakati anampiga mkwara rais na kumtisha mara wataingia barabarani mara tutatumia wembe ule ule mlikuwa mnadhani rais atakaa kimya?

Rais anayeonyesha hataki mchezo kwa maneno ya mtu kama Mdude, atakuwa na IQ ndogo kwelikweli. Angewakamata waliojiunganishia bomba la mafuta ningemuona ana jipya.
 
Viongozi wa dini walishtakiwa wamebaki wafanyabishara kwa jina la dini
 
Biblia iliposema wapo watu wataenda kwa Yesu nakusema bwana tulitoa pepo kwa jina lako na yesu atawakataa jua watakua wengi na wengi ni viongozi wa kidini wanaomtumikia shetani kupitia uoga walioupa jina hekima au amani ya moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…