Uonevu mwingine Jeshi la Polisi; Wafanyabiashara wasota mahabusu siku 563 na kuporwa mali zao

Uonevu mwingine Jeshi la Polisi; Wafanyabiashara wasota mahabusu siku 563 na kuporwa mali zao

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Ni mwendelezo wa mateso kwa wananchi.

20220314_082719.jpg


=======

Hali ya hewa katika Jeshi la Polisi bado haijakaa sawa baada ya hivi karibuni kushutumiwa katika matukio kadhaa ambayo yanaonekana kuwa kinyume cha utaratibu wao, leo tena Machi 14, Gazeti la Mwananchi limeandika juu ya sakata jipya.

Santus Galus Yondani (41) amewashutumu Polisi akidai wamemfanyia unyama mwingi, ameelezea alivyokamatwa, kuteswa na kuporwa mali.

Amenukuliwa akisema kuwa alikaa mahabusu kwa siku 563 na kuporwa mali kadhaa pamoja na fedha.

Source: Mwananchi
 
Polisi hawanaga mahabusu mzee, mahabusu zipo magerezani. Ile ya polisi Ni stoo huwezi kushikiriwa kwa siku zote hizo 500+, uongo huo.
 
Back
Top Bottom