Kamanda Asiyechoka JF-Expert Member Joined Sep 13, 2020 Posts 3,315 Reaction score 5,058 Mar 14, 2022 #1 Ni mwendelezo wa mateso kwa wananchi. ======= Hali ya hewa katika Jeshi la Polisi bado haijakaa sawa baada ya hivi karibuni kushutumiwa katika matukio kadhaa ambayo yanaonekana kuwa kinyume cha utaratibu wao, leo tena Machi 14, Gazeti la Mwananchi limeandika juu ya sakata jipya. Santus Galus Yondani (41) amewashutumu Polisi akidai wamemfanyia unyama mwingi, ameelezea alivyokamatwa, kuteswa na kuporwa mali. Amenukuliwa akisema kuwa alikaa mahabusu kwa siku 563 na kuporwa mali kadhaa pamoja na fedha. Source: Mwananchi
Ni mwendelezo wa mateso kwa wananchi. ======= Hali ya hewa katika Jeshi la Polisi bado haijakaa sawa baada ya hivi karibuni kushutumiwa katika matukio kadhaa ambayo yanaonekana kuwa kinyume cha utaratibu wao, leo tena Machi 14, Gazeti la Mwananchi limeandika juu ya sakata jipya. Santus Galus Yondani (41) amewashutumu Polisi akidai wamemfanyia unyama mwingi, ameelezea alivyokamatwa, kuteswa na kuporwa mali. Amenukuliwa akisema kuwa alikaa mahabusu kwa siku 563 na kuporwa mali kadhaa pamoja na fedha. Source: Mwananchi
Trubarg JF-Expert Member Joined Jan 8, 2020 Posts 4,388 Reaction score 7,223 Mar 14, 2022 #2 Unatuwekea heading badala ya kutuwekea habari...
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Mar 14, 2022 #4 Pole yao
Kinkunti El Perdedo JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 5,200 Reaction score 12,762 Mar 14, 2022 #5 Police ndo majambazi waliopo kwa mujibu wa Sheria za Tanzakiza
Trubarg JF-Expert Member Joined Jan 8, 2020 Posts 4,388 Reaction score 7,223 Mar 14, 2022 #6 Kamanda Asiyechoka said: We unajua kusoma? Click to expand... Sijui kusoma..najua kuandika
rip faza_nelly JF-Expert Member Joined Feb 19, 2018 Posts 5,749 Reaction score 7,038 Mar 14, 2022 #7 Polisi hawanaga mahabusu mzee, mahabusu zipo magerezani. Ile ya polisi Ni stoo huwezi kushikiriwa kwa siku zote hizo 500+, uongo huo.
Polisi hawanaga mahabusu mzee, mahabusu zipo magerezani. Ile ya polisi Ni stoo huwezi kushikiriwa kwa siku zote hizo 500+, uongo huo.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Mar 14, 2022 #8 Pole kwao
Trubarg JF-Expert Member Joined Jan 8, 2020 Posts 4,388 Reaction score 7,223 Mar 14, 2022 #10 Kamanda Asiyechoka said: Ndio maana unanyonya sana dudu za kiume Click to expand... Ndo akili zako zilipoishia...ukiguswa kidogo kinyeo kinatekenya..
Kamanda Asiyechoka said: Ndio maana unanyonya sana dudu za kiume Click to expand... Ndo akili zako zilipoishia...ukiguswa kidogo kinyeo kinatekenya..
Notorious thug JF-Expert Member Joined Dec 29, 2021 Posts 2,817 Reaction score 10,667 Mar 14, 2022 #11 Pussylisi
S Spicegold Member Joined Mar 5, 2021 Posts 44 Reaction score 62 Mar 14, 2022 #12 Wanaume wanajua kuchambana Duh
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,394 Reaction score 59,069 Mar 14, 2022 #13 Pole yao
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,239 Reaction score 11,731 Jun 7, 2022 #14 Pole sana kwao.