Yaan ndio kundi lililobeba mbumbumbu kuliko, mtumishi wa umma mwenye cheki namba yake mwenye elimu yake, amewekewa hadi taratibu za kazi bila kusahau ana haki ya kudai au kulalamika haki yake ikidhurumiwa bila kusahau wamewekewa tume ya usuruhishi ya migogoro kazini tena hawa jamaa kila mkoa wapo, bado anakuja lalamika mitandaoni eti anatafuta sijui huruma ya nani, naomba nimwambie tu aache kasumba zile za wale waalimu wa miaka ile wao kulalamika tu maana wesha ambukizwa na kizazi hiki cha digital. Nimtolee mfano kuna halmashauri ya jiji X hapa nchini kulikuwa na mkuu wa idara ya afya jamaa alikuwa na majanga yake kiasi kwamba kila mtu akamchoka, DED alikuwa anamwogopa jamaa inasemekana lakini kutokana na DMO kuwa na connektion zake kadha wa kadha, sasa ikafikia kipindi wakuu wa vituo na CHMT member wa halmashauri husika wakaandika simple barua yenye malalamiko yao plus evidence kwenda ofisi ya ded kama ilivyo protocol, ded akauchuna inasemekana aliogopa chukua hatua walivyoona kimya nakala ikatumwa tamisemi, punde tume ikatimba halmashauri husika kuchunguza tuhuma, jamaa wakajiridhisha pasi na shaka kwamba jamaa alilewa madaraka na kujisahau, very soon jamaa alipata barua kumhamisha na kumshusha cheo kwenye halmashauri Y basi kesi ikawa imeisha hiyo.
Huyu mwalimu aache kusubiri huruma ya mitandaoni akidhani jambo lake ni la kisiasa wakati ni la kitaalamu, madokezo yake kuhusu mkuu wake lazima awe na evidence nayo ili hatua zichukuliwe, au anasubir tu matamko kwa wanasiasa kushughulikia jambo hili? Atasubir sana tena akibainika atachukuliwa hatua na mwajiri wake kwa kutoa siri za ofisi, kazi kwake