DOKEZO Uonevu uliokithiri Idara ya Elimu Manispaa ya Moshi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sijawahi kuona kundi linalojua kulalamika kama kundi la watumishi wanaitwa walimu, aggggggrrrry wanalalama wao tu kila uchwao, wanahisi wanaonewa wao tu kila siku, wanahisi wao tu hawana kipato huku ikifika wakati wa kwenda kazi maalum na mitihani hawasemi aggggryyyy

Hivi mnajua kila offer inayotolewa katika utumishi huwa inaanza na nyie kwanza? Mnapanda madaraja mserereko, huku kwingine ni ndoto, mnaongezewa madaraja ya ziada kwenye mishahara yenu (wako waliofika principle ila wakaongezewa tena jingine) lakini bado mnalalamika tu kila siku kelele tu dah
ALicholeta hapa ni chuki binafsi, Afisa Elimu anasafiri vipi bila ruhusa ya DED? DED mwenyewe anaomba ruhusa kwa RC
 
Sijawahi kuona kundi linalojua kulalamika kama kundi la watumishi wanaitwa walimu, aggggggrrrry wanalalama wao tu kila uchwao, wanahisi wanaonewa wao tu kila siku, wanahisi wao tu hawana kipato huku ikifika wakati wa kwenda kazi maalum na mitihani hawasemi aggggryyyy

Hivi mnajua kila offer inayotolewa katika utumishi huwa inaanza na nyie kwanza? Mnapanda madaraja mserereko, huku kwingine ni ndoto, mnaongezewa madaraja ya ziada kwenye mishahara yenu (wako waliofika principle ila wakaongezewa tena jingine) lakini bado mnalalamika tu kila siku kelele tu dah
Waache walalamike kwani unapungukiwa nini wakilalamika?
 
Mkuu penye ukweli pasemwe, kada ya Ualimu kuna uonevu mwingi sana. Pia kumbuka mwalimu ndiye mtumishi wa Umma anaefanya kazi mazingira duni wa mwisho kabisa hii usababisha wengi kuonewa na kunyanyashwa kwa kigezo cha kupelekwa sehemu ambapo hakuna maji, barabara ....yaani kuna sehemu mwalimu anasafiri mwa punda na kupanga nyumba ya tembe.
Unless ujawahi kukaa na ndugu zetu wanaoitwa mwalimu.
 
Lakini mengine umechapia mwalimu unachuki na huyo afisa na wewe siyo mtumishi wa Mungu kama ulivyojinasibu mtu wa Mungu hawezi andika haya uliyo andika Kwa maana unaonesha unachuki siyo ubapenda haki hapana je umemfuata ukamwonya kama mtumishi wa Mungu?
Unavyo ongea utadhani huijui tanzania na huwajui viongozi wa halmashauri eti "umemfata kumuonya" wewe upo tanzania hii hii au unaishi Qatar.
 
Sijawahi kuona kundi linalojua kulalamika kama kundi la watumishi wanaitwa walimu, aggggggrrrry wanalalama wao tu kila uchwao, wanahisi wanaonewa wao tu kila siku, wanahisi wao tu hawana kipato huku ikifika wakati wa kwenda kazi maalum na mitihani hawasemi aggggryyyy

Hivi mnajua kila offer inayotolewa katika utumishi huwa inaanza na nyie kwanza? Mnapanda madaraja mserereko, huku kwingine ni ndoto, mnaongezewa madaraja ya ziada kwenye mishahara yenu (wako waliofika principle ila wakaongezewa tena jingine) lakini bado mnalalamika tu kila siku kelele tu dah
Na haliwezi kutokea kundi lingine kwa sababu kundi la walimu ndio kundi kubwa kuliko makundi yote katika utumishibwa umma hivyo ni lazima kila kiti kiwe zaid kwenye kundi hilo kuliko makundi mengine , hiyo ninhesabu ndogo tu ya chekechea.
 
Yaan ndio kundi lililobeba mbumbumbu kuliko, mtumishi wa umma mwenye cheki namba yake mwenye elimu yake, amewekewa hadi taratibu za kazi bila kusahau ana haki ya kudai au kulalamika haki yake ikidhurumiwa bila kusahau wamewekewa tume ya usuruhishi ya migogoro kazini tena hawa jamaa kila mkoa wapo, bado anakuja lalamika mitandaoni eti anatafuta sijui huruma ya nani, naomba nimwambie tu aache kasumba zile za wale waalimu wa miaka ile wao kulalamika tu maana wesha ambukizwa na kizazi hiki cha digital.

Nimtolee mfano kuna halmashauri ya jiji X hapa nchini kulikuwa na mkuu wa idara ya afya jamaa alikuwa na majanga yake kiasi kwamba kila mtu akamchoka, DED alikuwa anamwogopa jamaa inasemekana lakini kutokana na DMO kuwa na connektion zake kadha wa kadha, sasa ikafikia kipindi wakuu wa vituo na CHMT member wa halmashauri husika wakaandika simple barua yenye malalamiko yao plus evidence kwenda ofisi ya ded kama ilivyo protocol, DED akauchuna inasemekana aliogopa chukua hatua walivyoona kimya nakala ikatumwa tamisemi, punde tume ikatimba halmashauri husika kuchunguza tuhuma, jamaa wakajiridhisha pasi na shaka kwamba jamaa alilewa madaraka na kujisahau, very soon jamaa alipata barua kumhamisha na kumshusha cheo kwenye halmashauri Y basi kesi ikawa imeisha hiyo.

Huyu mwalimu aache kusubiri huruma ya mitandaoni akidhani jambo lake ni la kisiasa wakati ni la kitaalamu, madokezo yake kuhusu mkuu wake lazima awe na evidence nayo ili hatua zichukuliwe, au anasubir tu matamko kwa wanasiasa kushughulikia jambo hili? Atasubir sana tena akibainika atachukuliwa hatua na mwajiri wake kwa kutoa siri za ofisi, kazi kwake
 
Nasikitika TANGU uhuru hatujapata kiongozi sahihi wa kuifanya taasisi ya elimu iheshimike kama TAASISI nyingine!!

Taifa na dola wameamua maksudi kabisa kuifanya Elimu kuwa TAASISI mbovue kabisa na hawana mpango nayo bali kuifanyia siasa uchwara miaka Nenda Rudi!!

Elimu inaonekana kama sekta mfu iliyooza wala hakuna Alie na habari nayo!!

Taifa hili litapiga maktaim Hadi elimu kama TAASISI itatengemaa!!

Sio moshie tu!KILA halma Shaun nchini kuna Tatizo kubwa Sana la utawala!

Rushwa,ukabila,uonevu,ngono uzembe,vyeo vya ngono ((Hii nimeiona kabisa sio KWA kuhadithiwa)) yaani kumeozae!

Niliamini jpm ndie Lakini nae alifeli kabisa!
 
Yaan ndio kundi lililobeba mbumbumbu kuliko, mtumishi wa umma mwenye cheki namba yake mwenye elimu yake, amewekewa hadi taratibu za kazi bila kusahau ana haki ya kudai au kulalamika haki yake ikidhurumiwa bila kusahau wamewekewa tume ya usuruhishi ya migogoro kazini tena hawa jamaa kila mkoa wapo, bado anakuja lalamika mitandaoni eti anatafuta sijui huruma ya nani, naomba nimwambie tu aache kasumba zile za wale waalimu wa miaka ile wao kulalamika tu maana wesha ambukizwa na kizazi hiki cha digital. Nimtolee mfano kuna halmashauri ya jiji X hapa nchini kulikuwa na mkuu wa idara ya afya jamaa alikuwa na majanga yake kiasi kwamba kila mtu akamchoka, DED alikuwa anamwogopa jamaa inasemekana lakini kutokana na DMO kuwa na connektion zake kadha wa kadha, sasa ikafikia kipindi wakuu wa vituo na CHMT member wa halmashauri husika wakaandika simple barua yenye malalamiko yao plus evidence kwenda ofisi ya ded kama ilivyo protocol, ded akauchuna inasemekana aliogopa chukua hatua walivyoona kimya nakala ikatumwa tamisemi, punde tume ikatimba halmashauri husika kuchunguza tuhuma, jamaa wakajiridhisha pasi na shaka kwamba jamaa alilewa madaraka na kujisahau, very soon jamaa alipata barua kumhamisha na kumshusha cheo kwenye halmashauri Y basi kesi ikawa imeisha hiyo.

Huyu mwalimu aache kusubiri huruma ya mitandaoni akidhani jambo lake ni la kisiasa wakati ni la kitaalamu, madokezo yake kuhusu mkuu wake lazima awe na evidence nayo ili hatua zichukuliwe, au anasubir tu matamko kwa wanasiasa kushughulikia jambo hili? Atasubir sana tena akibainika atachukuliwa hatua na mwajiri wake kwa kutoa siri za ofisi, kazi kwake
Hapo mwenyewe unajiona umeandika kweli kweli 🤣🤣

Kumbe ulicho fanya ni sawa na kuutukana uchi wa mama yako ulio kuto ukawa wewe , halafu unataka tukuone una akili🤪🤪

Mwenye akili hawezi kumtukana aliye mfundisha kusoma ,kuhesabu na kuandika kamwe! Ni sawa na kumuona mama yako mpumbavu eti kisa kakulea wewe leo umejua kuchomekea na kupaka poda halafu mama ako anavaa kanga tako moja wazi basi unamuona wa kijijini na mshamba kabisa , halafu hapo hapo unataka tukuone wewe una akili , shwain.
 
Lakini mengine umechapia mwalimu unachuki na huyo afisa na wewe siyo mtumishi wa Mungu kama ulivyojinasibu mtu wa Mungu hawezi andika haya uliyo andika Kwa maana unaonesha unachuki siyo ubapenda haki hapana je umemfuata ukamwonya kama mtumishi wa Mungu?
Hivi wewe umerogwa au ni Ngonyani?
 
Sijawahi kuona kundi linalojua kulalamika kama kundi la watumishi wanaitwa walimu, aggggggrrrry wanalalama wao tu kila uchwao, wanahisi wanaonewa wao tu kila siku, wanahisi wao tu hawana kipato huku ikifika wakati wa kwenda kazi maalum na mitihani hawasemi aggggryyyy

Hivi mnajua kila offer inayotolewa katika utumishi huwa inaanza na nyie kwanza? Mnapanda madaraja mserereko, huku kwingine ni ndoto, mnaongezewa madaraja ya ziada kwenye mishahara yenu (wako waliofika principle ila wakaongezewa tena jingine) lakini bado mnalalamika tu kila siku kelele tu dah
Jibu hoja ya Ngonyani kwanza, je ni uongo au kweli?
Hayo mengine ni mipasho yako
 
Back
Top Bottom