peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Kulipokea ni jambo jingine, kulifanyia kazi ni jambo jingine na kulitolea maamuzi magumu ni jambo jingine.Hili swala limefika mahala pake!! Tunawahitaji wananchi kama nyie! Tamisemi tumelipokea!! Ahsante sana!
Ummy na MkendaMtoa Uzi ukiona hawakusikiluzi nenda twitwer zama invox ya Ummy akikausha weka mjeka kwenye page yake
ALicholeta hapa ni chuki binafsi, Afisa Elimu anasafiri vipi bila ruhusa ya DED? DED mwenyewe anaomba ruhusa kwa RCSijawahi kuona kundi linalojua kulalamika kama kundi la watumishi wanaitwa walimu, aggggggrrrry wanalalama wao tu kila uchwao, wanahisi wanaonewa wao tu kila siku, wanahisi wao tu hawana kipato huku ikifika wakati wa kwenda kazi maalum na mitihani hawasemi aggggryyyy
Hivi mnajua kila offer inayotolewa katika utumishi huwa inaanza na nyie kwanza? Mnapanda madaraja mserereko, huku kwingine ni ndoto, mnaongezewa madaraja ya ziada kwenye mishahara yenu (wako waliofika principle ila wakaongezewa tena jingine) lakini bado mnalalamika tu kila siku kelele tu dah
Umeambiwa ushahidi upoHaya siyo majungu kweli? kesi ya ulawiti inapelekwa kwa Afisa Elimu au polisi? hapa ukweli utakuwa ni mdogo sn
Kwanini asiupeleke polisi? hapo kuna DAS, DC, RAS na RC kweli hawa wote wanaweza kumshindwa Afisa Elimu? RAS ana mamlaka ya kumhamisha mtumishi yoyote ndani ya Mkoa, kweli anaweza akafanya maovu yote haya bila wao kujua? siamini hata kidogoUmeambiwa ushahidi upo
Nimejikuta nacheka kama mwehu vileTanzania eneo na mkoa pekee TAKUKURU nao wanachukua RUSHWA ni Mkoa wa Kilimanjaro. Wakisoma thread hii wanapiga kimya.
Wanasema mama ana upiga mwingi.
Waache walalamike kwani unapungukiwa nini wakilalamika?Sijawahi kuona kundi linalojua kulalamika kama kundi la watumishi wanaitwa walimu, aggggggrrrry wanalalama wao tu kila uchwao, wanahisi wanaonewa wao tu kila siku, wanahisi wao tu hawana kipato huku ikifika wakati wa kwenda kazi maalum na mitihani hawasemi aggggryyyy
Hivi mnajua kila offer inayotolewa katika utumishi huwa inaanza na nyie kwanza? Mnapanda madaraja mserereko, huku kwingine ni ndoto, mnaongezewa madaraja ya ziada kwenye mishahara yenu (wako waliofika principle ila wakaongezewa tena jingine) lakini bado mnalalamika tu kila siku kelele tu dah
Mkuu penye ukweli pasemwe, kada ya Ualimu kuna uonevu mwingi sana. Pia kumbuka mwalimu ndiye mtumishi wa Umma anaefanya kazi mazingira duni wa mwisho kabisa hii usababisha wengi kuonewa na kunyanyashwa kwa kigezo cha kupelekwa sehemu ambapo hakuna maji, barabara ....yaani kuna sehemu mwalimu anasafiri mwa punda na kupanga nyumba ya tembe.Sijawahi kuona kundi linalojua kulalamika kama kundi la watumishi wanaitwa walimu, aggggggrrrry wanalalama wao tu kila uchwao, wanahisi wanaonewa wao tu kila siku, wanahisi wao tu hawana kipato huku ikifika wakati wa kwenda kazi maalum na mitihani hawasemi aggggryyyy
Hivi mnajua kila offer inayotolewa katika utumishi huwa inaanza na nyie kwanza? Mnapanda madaraja mserereko, huku kwingine ni ndoto, mnaongezewa madaraja ya ziada kwenye mishahara yenu (wako waliofika principle ila wakaongezewa tena jingine) lakini bado mnalalamika tu kila siku kelele tu dah
Unavyo ongea utadhani huijui tanzania na huwajui viongozi wa halmashauri eti "umemfata kumuonya" wewe upo tanzania hii hii au unaishi Qatar.Lakini mengine umechapia mwalimu unachuki na huyo afisa na wewe siyo mtumishi wa Mungu kama ulivyojinasibu mtu wa Mungu hawezi andika haya uliyo andika Kwa maana unaonesha unachuki siyo ubapenda haki hapana je umemfuata ukamwonya kama mtumishi wa Mungu?
Na haliwezi kutokea kundi lingine kwa sababu kundi la walimu ndio kundi kubwa kuliko makundi yote katika utumishibwa umma hivyo ni lazima kila kiti kiwe zaid kwenye kundi hilo kuliko makundi mengine , hiyo ninhesabu ndogo tu ya chekechea.Sijawahi kuona kundi linalojua kulalamika kama kundi la watumishi wanaitwa walimu, aggggggrrrry wanalalama wao tu kila uchwao, wanahisi wanaonewa wao tu kila siku, wanahisi wao tu hawana kipato huku ikifika wakati wa kwenda kazi maalum na mitihani hawasemi aggggryyyy
Hivi mnajua kila offer inayotolewa katika utumishi huwa inaanza na nyie kwanza? Mnapanda madaraja mserereko, huku kwingine ni ndoto, mnaongezewa madaraja ya ziada kwenye mishahara yenu (wako waliofika principle ila wakaongezewa tena jingine) lakini bado mnalalamika tu kila siku kelele tu dah
Yaan ndio kundi lililobeba mbumbumbu kuliko, mtumishi wa umma mwenye cheki namba yake mwenye elimu yake, amewekewa hadi taratibu za kazi bila kusahau ana haki ya kudai au kulalamika haki yake ikidhurumiwa bila kusahau wamewekewa tume ya usuruhishi ya migogoro kazini tena hawa jamaa kila mkoa wapo, bado anakuja lalamika mitandaoni eti anatafuta sijui huruma ya nani, naomba nimwambie tu aache kasumba zile za wale waalimu wa miaka ile wao kulalamika tu maana wesha ambukizwa na kizazi hiki cha digital.Na haliwezi kutokea kundi lingine kwa sababu kundi la walimu ndio kundi kubwa kuliko makundi yote katika utumishibwa umma hivyo ni lazima kila kiti kiwe zaid kwenye kundi hilo kuliko makundi mengine , hiyo ninhesabu ndogo tu ya chekechea.
Hapo mwenyewe unajiona umeandika kweli kweli 🤣🤣Yaan ndio kundi lililobeba mbumbumbu kuliko, mtumishi wa umma mwenye cheki namba yake mwenye elimu yake, amewekewa hadi taratibu za kazi bila kusahau ana haki ya kudai au kulalamika haki yake ikidhurumiwa bila kusahau wamewekewa tume ya usuruhishi ya migogoro kazini tena hawa jamaa kila mkoa wapo, bado anakuja lalamika mitandaoni eti anatafuta sijui huruma ya nani, naomba nimwambie tu aache kasumba zile za wale waalimu wa miaka ile wao kulalamika tu maana wesha ambukizwa na kizazi hiki cha digital. Nimtolee mfano kuna halmashauri ya jiji X hapa nchini kulikuwa na mkuu wa idara ya afya jamaa alikuwa na majanga yake kiasi kwamba kila mtu akamchoka, DED alikuwa anamwogopa jamaa inasemekana lakini kutokana na DMO kuwa na connektion zake kadha wa kadha, sasa ikafikia kipindi wakuu wa vituo na CHMT member wa halmashauri husika wakaandika simple barua yenye malalamiko yao plus evidence kwenda ofisi ya ded kama ilivyo protocol, ded akauchuna inasemekana aliogopa chukua hatua walivyoona kimya nakala ikatumwa tamisemi, punde tume ikatimba halmashauri husika kuchunguza tuhuma, jamaa wakajiridhisha pasi na shaka kwamba jamaa alilewa madaraka na kujisahau, very soon jamaa alipata barua kumhamisha na kumshusha cheo kwenye halmashauri Y basi kesi ikawa imeisha hiyo.
Huyu mwalimu aache kusubiri huruma ya mitandaoni akidhani jambo lake ni la kisiasa wakati ni la kitaalamu, madokezo yake kuhusu mkuu wake lazima awe na evidence nayo ili hatua zichukuliwe, au anasubir tu matamko kwa wanasiasa kushughulikia jambo hili? Atasubir sana tena akibainika atachukuliwa hatua na mwajiri wake kwa kutoa siri za ofisi, kazi kwake
Hivi wewe umerogwa au ni Ngonyani?Lakini mengine umechapia mwalimu unachuki na huyo afisa na wewe siyo mtumishi wa Mungu kama ulivyojinasibu mtu wa Mungu hawezi andika haya uliyo andika Kwa maana unaonesha unachuki siyo ubapenda haki hapana je umemfuata ukamwonya kama mtumishi wa Mungu?
Jibu hoja ya Ngonyani kwanza, je ni uongo au kweli?Sijawahi kuona kundi linalojua kulalamika kama kundi la watumishi wanaitwa walimu, aggggggrrrry wanalalama wao tu kila uchwao, wanahisi wanaonewa wao tu kila siku, wanahisi wao tu hawana kipato huku ikifika wakati wa kwenda kazi maalum na mitihani hawasemi aggggryyyy