DOKEZO Uonevu uliokithiri Idara ya Elimu Manispaa ya Moshi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mambo mengi uliyotaja ushahidi wake ni mgumu sana. Kuna wake za watu wa kutoa ushahidi kuliwa? Hao wazazi waliohonga mnao ushahidi? Sioni namna mtatia nyavuni huyu.

Hapa JF huwa tunakuja na evidence kadhaa hata kama si zote siku hiyo hiyo mtu anasimamishwa kwa uchunguzi.

Mfano safari binafsi kwa gharama za serikali, kuna ushahidi gani?

Miradi kwenda shule zile zile hapo napo si rahisi anaweza kuwa na hoja lakini pia zipo idara mtambuka kwenye hilo si jukumu lake pekee. Hata Mkurugenzi anahusika.

Namna umeiandika unaweza kuwa umemsaidia aweke mambo yake sawa badala ya kumtia nyavuni.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Peleka hili jambo takukuru

Au ngoja nikusaidie....

Mi siendekezi ujinga.
 
Hongera mtoa mada, huyo ngofisi ajitafakari maana hii tuhuma ni nzito
 
Kwanini asiupeleke polisi? hapo kuna DAS, DC, RAS na RC kweli hawa wote wanaweza kumshindwa Afisa Elimu? RAS ana mamlaka ya kumhamisha mtumishi yoyote ndani ya Mkoa, kweli anaweza akafanya maovu yote haya bila wao kujua? siamini hata kidogo
Uamini nn wenawe mtoa mada amesisitiza uchunguzi ufanyike . Ngonyani ni wewe nn?? Eboo!!
 
Aisee wewe unamjua mtu anaetumia madaraka yake vema kujinufaisha?
Acha bhana huo ujasiri wa kumdogelea aisee
Hebu siku moja jaribu kumfata mtu wa juu yako kumuonya na uone kitakacho kutokea
[emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322]
 
Ww ndiyo hovyo kabisa, hiyo miserereko imetokea wapi na lini? Unawezaje kuandika uongo huu na ni kwa faida ya nani? Kama hujui jambo usiropoke!
 
Wewe ni mpumbavu tu huna sifa nyingine bwashee
 
Ww ndiyo hovyo kabisa, hiyo miserereko imetokea wapi na lini? Unawezaje kuandika uongo huu na ni kwa faida ya nani? Kama hujui jambo usiropoke!
Pole kama hujawahi serereka, hasira zako peleka CWT
 
Walimu acheni uoga wa maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…