DOKEZO Uonevu uliokithiri Idara ya Elimu Manispaa ya Moshi

DOKEZO Uonevu uliokithiri Idara ya Elimu Manispaa ya Moshi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kuna halmashauri Fulani niliwahi kusikia DEO wa msingi na sekondary (walikuwa wote Wanawake) haikuwiva chungu kimoja .

Walikuwa paka na panya wanatemea mbovu hatari mbele ya maafisa wao[emoji1]

Wakahamishwa wote mara moja huyu akatupwa kule na yule akatupwa huko[emoji1787]
 
Ukitaka upate ukuu wa shule au afisa elimu kata Kuna haya

Toa ngono upewe
Toa hongo upewe
Bahati Yako tu(maana waliosoma siku hizi wako wengi)
 
Humu RAS,DC/DED wapo? shame on you
Ujumbe haujafika?
Kwani sababu gani iliyokuweka humu jukwaani mpumbavu wewe?
Kuna mahakama?
Kuna RAS?
Kuna maDC humu?
Kuna ma DED?
Yaani ulivyo mpuuzi hata hujui dhamira ya hili jukwaa, ni jukwaa huru leta hoja yako wadau wanaijadili.
Urasimu wa kiofisi hauna nafasi wewe meathead
 
Mh. Waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda ni Makini mno. Mwenye contact yake amtumie hii JF link. Mara moja kesho utamsikia kwenye news analishughulikia.
 
Sijawahi kuona kundi linalojua kulalamika kama kundi la watumishi wanaitwa walimu, aggggggrrrry wanalalama wao tu kila uchwao, wanahisi wanaonewa wao tu kila siku, wanahisi wao tu hawana kipato huku ikifika wakati wa kwenda kazi maalum na mitihani hawasemi aggggryyyy

Hivi mnajua kila offer inayotolewa katika utumishi huwa inaanza na nyie kwanza? Mnapanda madaraja mserereko, huku kwingine ni ndoto, mnaongezewa madaraja ya ziada kwenye mishahara yenu (wako waliofika principle ila wakaongezewa tena jingine) lakini bado mnalalamika tu kila siku kelele tu dah
Sijakuelewa hapo kwenye principle... kumeongezwa nini?
 
Mtu anatoka hokoooo gizani kusini anakuja kuwatesa wazawa moshi... pigeni mapanga au loga shenzi moja
Acha ukabila,mhukumu kwa matendo yake sio kabila lake,yeye ni mtanzania huyu mwenye haki ya kufanya kazi sehemu yoyote ya Jamhuri atakayopangiwa na serikali🙏
 
Kwa huu uzi nimegundua yafuatayo;

Walimu wa JF wanao wakilisha walimu wote nchini asili yao ni makasiriko, hasira na umbumbumbu uliopitiliza, mwalimu akielekezwa utaratibu anakuwa mkali anawaka kama kameza kaa la moto, wanafunzi wetu hawako salama huko
 
Na wewe naona ni wale wale, kama sio mwalimu wa primary basi vidudu, mkuu wa idara wawezaje mshitaki kwenye idara? Yaani hiyo senario hujaielewa kabisa, hivi lini serikali itaacha ajili failure kuwa walimu? Mnaaibisha
Nafikiri pengine hujawahi kufanya kazi ktk sekta ya umma, au unajitoa fahamu.

Yaani mwalimu atoke shuleni aende kumwambia mwajiri wake DEO wangu Ni msinzi. Unaenda, unaanzaje hiyo stori labda.

Unaenda kupeleka mashaka kwa mwajiri kumshtaki bosi wako wa idara halafu baada ya hapo utaishije kazini labda. Usalama wako utakuwa wapi.

Kuna information unaweza kuwa nazo lkn huwezi kutoka hadharani ukazisema sababu huwezi kuzithibitisha. Japo Ni za kweli.Lkn taarifa km hii vyombo husika wanajua waanzie wapi na kupata ukweli au uongo wake.

Japo najua huwezi tuhumiwa kwa hoja nyingi hivyo halafu zote zikawa uongo.

Taarifa km hizi Ni za wapiga mluzi halafu wahusika wachukue hatua.

Wengi humu wanaongea lkn hawajui Hali ya huko kazini/ofini ilivyo. Kumtuhumu mkubwa wako hadharani so Jambo rahisi mnvyodhani.

Wakiungana wakikugeuka utakuwa matatani.
 
Umenikumbusha tabia nyingine ya walimu, umbea umbea, sasa uzinzi wa DEOs au DEOp unakuhusu nini? Yeye anajaza fomu za maadili ya viongozi, pia anakuwa valuated kama hawakuona ni mzinzi wewe ni nani ku judge? Kuna mahari niliishi na DEO mmoja yaani walimu wanamuona kama mungumtu wao, kwanza wanamwita muheshimiwa, anapewa shikamoo hadi na wazee, walimu acheni nidhamu za woga, mzee hunambii chochote kuhusu walimu na mambo yao
 
Acha ukabila,mhukumu kwa matendo yake sio kabila lake,yeye ni mtanzania huyu mwenye haki ya kufanya kazi sehemu yoyote ya Jamhuri atakayopangiwa na serikali🙏
Kama inakuma utajua mwenyewe lkn kunamakabila wanaendekeza ngono sana kuliko kazi wahaya na wangoni wabadilike wanavitabia flani generally vyakingonozembe....
 
Ujumbe haujafika?
Kwani sababu gani iliyokuweka humu jukwaani mpumbavu wewe?
Kuna mahakama?
Kuna RAS?
Kuna maDC humu?
Kuna ma DED?
Yaani ulivyo mpuuzi hata hujui dhamira ya hili jukwaa, ni jukwaa huru leta hoja yako wadau wanaijadili.
Urasimu wa kiofisi hauna nafasi wewe meathead
Kwa ujinga wako huu hata mumeo kazi anayo
 
Back
Top Bottom