Ili mfiche faili lisionekane mzidi kumkandamiza?Kwanini asiandike barua kwa DED/DC/RAS/RC?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili mfiche faili lisionekane mzidi kumkandamiza?Kwanini asiandike barua kwa DED/DC/RAS/RC?
We ni mpuuzi email za viongozi za serikali zipo wazi kwanini asitume kwa email?Ili mfiche faili lisionekane mzidi kumkandamiza?
Mpuuzi babaako, kwani kwa kutumia njia aliyotumia ujumbe haujafika?We ni mpuuzi email za viongozi za serikali zipo wazi kwanini asitume kwa email?
Humu RAS,DC/DED wapo? shame on youMpuuzi babaako, kwani kwa kutumia njia aliyotumia ujumbe haujafika?
Mtu anatoka hokoooo gizani kusini anakuja kuwatesa wazawa moshi... pigeni mapanga au loga shenzi mojaWatu wa songea wanapenda ny…nyo sana. Aondolewe tu
Ujumbe haujafika?Humu RAS,DC/DED wapo? shame on you
Sijakuelewa hapo kwenye principle... kumeongezwa nini?Sijawahi kuona kundi linalojua kulalamika kama kundi la watumishi wanaitwa walimu, aggggggrrrry wanalalama wao tu kila uchwao, wanahisi wanaonewa wao tu kila siku, wanahisi wao tu hawana kipato huku ikifika wakati wa kwenda kazi maalum na mitihani hawasemi aggggryyyy
Hivi mnajua kila offer inayotolewa katika utumishi huwa inaanza na nyie kwanza? Mnapanda madaraja mserereko, huku kwingine ni ndoto, mnaongezewa madaraja ya ziada kwenye mishahara yenu (wako waliofika principle ila wakaongezewa tena jingine) lakini bado mnalalamika tu kila siku kelele tu dah
Acha ukabila,mhukumu kwa matendo yake sio kabila lake,yeye ni mtanzania huyu mwenye haki ya kufanya kazi sehemu yoyote ya Jamhuri atakayopangiwa na serikali🙏Mtu anatoka hokoooo gizani kusini anakuja kuwatesa wazawa moshi... pigeni mapanga au loga shenzi moja
Nafikiri pengine hujawahi kufanya kazi ktk sekta ya umma, au unajitoa fahamu.Na wewe naona ni wale wale, kama sio mwalimu wa primary basi vidudu, mkuu wa idara wawezaje mshitaki kwenye idara? Yaani hiyo senario hujaielewa kabisa, hivi lini serikali itaacha ajili failure kuwa walimu? Mnaaibisha
Umenikumbusha tabia nyingine ya walimu, umbea umbea, sasa uzinzi wa DEOs au DEOp unakuhusu nini? Yeye anajaza fomu za maadili ya viongozi, pia anakuwa valuated kama hawakuona ni mzinzi wewe ni nani ku judge? Kuna mahari niliishi na DEO mmoja yaani walimu wanamuona kama mungumtu wao, kwanza wanamwita muheshimiwa, anapewa shikamoo hadi na wazee, walimu acheni nidhamu za woga, mzee hunambii chochote kuhusu walimu na mambo yaoNafikiri pengine hujawahi kufanya kazi ktk sekta ya umma, au unajitoa fahamu.
Yaani mwalimu atoke shuleni aende kumwambia mwajiri wake DEO wangu Ni msinzi. Unaenda, unaanzaje hiyo stori labda.
Unaenda kupeleka mashaka kwa mwajiri kumshtaki bosi wako wa idara halafu baada ya hapo utaishije kazini labda. Usalama wako utakuwa wapi.
Kuna information unaweza kuwa nazo lkn huwezi kutoka hadharani ukazisema sababu huwezi kuzithibitisha. Japo Ni za kweli.Lkn taarifa km hii vyombo husika wanajua waanzie wapi na kupata ukweli au uongo wake.
Japo najua huwezi tuhumiwa kwa hoja nyingi hivyo halafu zote zikawa uongo.
Taarifa km hizi Ni za wapiga mluzi halafu wahusika wachukue hatua.
Wengi humu wanaongea lkn hawajui Hali ya huko kazini/ofini ilivyo. Kumtuhumu mkubwa wako hadharani so Jambo rahisi mnvyodhani.
Wakiungana wakikugeuka utakuwa matatani.
Kama inakuma utajua mwenyewe lkn kunamakabila wanaendekeza ngono sana kuliko kazi wahaya na wangoni wabadilike wanavitabia flani generally vyakingonozembe....Acha ukabila,mhukumu kwa matendo yake sio kabila lake,yeye ni mtanzania huyu mwenye haki ya kufanya kazi sehemu yoyote ya Jamhuri atakayopangiwa na serikali🙏
Kama nyie wachaga mnavyoendekeza pesa na pombe🤣Kama inakuma utajua mwenyewe lkn kunamakabila wanaendekeza ngono sana kuliko kazi wahaya na wangoni wabadilike wanavitabia flani generally vyakingonozembe....
Kwa ujinga wako huu hata mumeo kazi anayoUjumbe haujafika?
Kwani sababu gani iliyokuweka humu jukwaani mpumbavu wewe?
Kuna mahakama?
Kuna RAS?
Kuna maDC humu?
Kuna ma DED?
Yaani ulivyo mpuuzi hata hujui dhamira ya hili jukwaa, ni jukwaa huru leta hoja yako wadau wanaijadili.
Urasimu wa kiofisi hauna nafasi wewe meathead