DOKEZO Uonevu uliokithiri Idara ya Elimu Manispaa ya Moshi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Me
Aisee wewe unamjua mtu anaetumia madaraka yake vema kujinufaisha?
Acha bhana huo ujasiri wa kumdogelea aisee
Hebu siku moja jaribu kumfata mtu wa juu yako kumuonya na uone kitakacho kutokea
Mengine ni kuyapotezea
Kwa hiyo mambo unayofanya bwana Ngonyani unataka tuyasapoti?
Ngono inakufurahisha siyo
Siyo nafurahia maovu huenda kwa jinsi ilivyoandikwa imeandikwa kiufitini fitini Ingeandikwa kifasihi au kimafumbo siyo kumtaja mtu direct ungeimba takukuru wachunguze ofisi yake
 
Acha kumtisha mwalimu. Nyie ndio wanyanyasaji wakubwa.
 
  • Mwanzo wa ngoma ni Lele
  •  Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu
  • Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.
  •  Mtaka nyingi nasaba hupata mingi misiba.
 
Toa taarifa kwenye vyombo husika happo moshi kama Pccb, police, nk
 
Me

Mengine ni kuyapotezea

Siyo nafurahia maovu huenda kwa jinsi ilivyoandikwa imeandikwa kiufitini fitini Ingeandikwa kifasihi au kimafumbo siyo kumtaja mtu direct ungeimba takukuru wachunguze ofisi yake
Kiufitini kwako ni kwa sababu mwandishi amesema kweli na wewe hupendi kweli?

Kifasihi ili watu wasijue kweli wabaki na hisia badala ya uhalisia?
Mnafiki
 
Kuna kashfa iliwahi andikwa humu...ya watu mabosi wa GIPSA...hamuezi amini ile thread iliruka na watu hatari..wengine waliotajwa mule waliresign...so Mtoa mada hujakosea hapa ni mahali sahihi maana unamshtaki kwa wananchi plus...thread ikiwekwa imewekwa...!
 
Duuuuh mbna hatariii hii.
 
Duuuh mlongo vangu amekutwaa na jambooo. Ila kwenye uzinzi nakubaliii, sisi wangoni tunapenda sana mizagamuooo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ALicholeta hapa ni chuki binafsi, Afisa Elimu anasafiri vipi bila ruhusa ya DED? DED mwenyewe anaomba ruhusa kwa RC
Kwahiyo kama amesafiri bila ruhusa Kuna software inayoweza kukataza hizo safar? Kilichoandikwa ni irregularities kwahiyo huenda hakuna baraka za DED ndio maana watu wanalalamika
 
Kwahiyo kama amesafiri bila ruhusa Kuna software inayoweza kukataza hizo safar? Kilichoandikwa ni irregularities kwahiyo huenda hakuna baraka za DED ndio maana watu wanalalamika
DED anaweza kumchukulia hatua ni boss wake, siamini DEO anaweza kuwa na nguvu kuzidi DED haipo, kwanini wasilalamike kwa DC/RAS/RC au kwa KM TAMISEMI?
 
Ulichokiandika hata wewe mwenyewe ukirudia kusoma utajishangaa, umetolea mfano wa Mkuu mmoja wa IDARA hapo kuwa alikuwa analalamikiwa na wahanga wamepeleka malalamiko kwenye mamlaka zao za kiutumishi ila imepigwa chini barua zao mpaka walipoamua kuvuka mipaka ndio suluhu ikapatikana.

Sasa wewe na wao mbumbumbu ni nani? Kwani kuna sehemu amesema hawajawahi kupeleka malalamiko yao kwenye hizo IDARA?

Na kama hayafanyiwi kazi hapa JF kuna dhambi yoyote mtu kutoa taarifa ikiwa hapa ni jukwaa linaloweza kuleta habari na ikaonekana haraka kwa wahusika ambao kwa kufata kanuni za kuwafikishia taarifa ingechelewa na huenda isingewafikia kabisa.
 
Na wewe naona ni wale wale, kama sio mwalimu wa primary basi vidudu, mkuu wa idara wawezaje mshitaki kwenye idara? Yaani hiyo senario hujaielewa kabisa, hivi lini serikali itaacha ajili failure kuwa walimu? Mnaaibisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…