DOKEZO Uonevu uliokithiri Idara ya Elimu Manispaa ya Moshi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Inaonyesha malalamiko yako mengi siyo ya kweli dhidi ya Afisa huyo.Fanya utafiti wa kina kabla ya kuandika tuhuma za aina hii.
 
Kwanini asiupeleke polisi? hapo kuna DAS, DC, RAS na RC kweli hawa wote wanaweza kumshindwa Afisa Elimu? RAS ana mamlaka ya kumhamisha mtumishi yoyote ndani ya Mkoa, kweli anaweza akafanya maovu yote haya bila wao kujua? siamini hata kidogo
Kama malalamiko hayajafikishwa kituoni yeye apeleke ushahidi kama nani Sasa!?
 
Kwanini asiupeleke polisi? hapo kuna DAS, DC, RAS na RC kweli hawa wote wanaweza kumshindwa Afisa Elimu? RAS ana mamlaka ya kumhamisha mtumishi yoyote ndani ya Mkoa, kweli anaweza akafanya maovu yote haya bila wao kujua? siamini hata kidogo
Hivi unajua maana ya whistleblower? Jamaa ametumia mtandao wa kijamii kufikisha taarifa nyeti ili kuficha usalama wake,usalama wa kazi yake na familia yake.

Huwezi kujua nani ni adui au rafiki yako ktk ulimwengu wa sasa. Unaweza kwenda kufikisha taarifa polisi ukidhani ni sehemu salama kumbe nyuma ya pazia hao polisi ndio washirika na marafiki wakubwa wa huyo NGONYANI.

Taarifa ikamfikia Ngonyani kabla hata kesi haijafunguliwa ukaja kujikuta katka hali tete.
 
Pole Mwl.

Hii idara ni nyeti sana lkn inaendeshwa kipuuzi sana.

Nadhani hivi vyeo vya kuteuliwa navyo ni chanzo cha uchafu wa elimu yetu.

Huyu Ngonyani lazima ni mwenyeji wa kule Mkoani Ruvuma. Kule kwao watoto wa kike mimba wanabeba na ni haki yao wakiwa tangu darasa la tano. Siyo kwa afisa elimu sijui ngazi gani wala Mtendaji kata,ni mradi wao wa kupiga fedha kutoka kwa aliyepachika mimba na aliyepachikwa mimba.

Yaani unaweza usiamini km kule nako ni Tanzania.
 
Watu wa songea wanapenda ny…nyo sana. Aondolewe tu
Mimi ninakuelewa sana.
Niliwahi kwenda kumtembelea ndugu yangu kule Mbinga,ebuana eeeh nilishanga kuona vipaumbele vyao.
1 Uchawi na ushirikina.
2 Ngono
3 Ulevi
4 Sherehe za kila level (kipa imara,komunio,mahafari,ubatizo,kubariki ndoa) sasa kataa kuchangia sherehe uone ndoa inavyokufa.
 
Ngonyani unakula wake za watu kisa una cheo? Sawa boss.
This time utaliwa wewe kavu kavu.
 
Kwa mtizamo wangu baada ya kusoma ulichoandika, inawezekana kabisa umechapia (majungu) kwa 50% na ukweli wa taarifa 50%.

Baadhi ya Halmashauri nchini zina watendaji wana mambo ya ovyo sana huwezi kuamini kama ni wao ndio wamekasimiwa mamlaka ya kuwahudumia/kuwaongoza watu.

Humu jamvini nadhani kuna wengi wanapitia/wanasoma taarifa kama hizi na kuwasilisha kunakohusika kwa hatua zaidi za kupembeua pumba na mchele ili mambo kuwekwa sawa.

Vinginevyo peleka allegations zako hizo TAMISEMI kwa hatua zaidi.

Ndio maana mara nyingine Mama yetu (Rais) kimya kimya kalamu yake inafanya kazi bila kuchelewa kuwashughulikia waliokengeuka.
 
Bwana Yule kwa sehemu fulani alichochea maovu ya aina hii hasa kipindi cha utemi wake. Eti mtu akionekana tuu kumuunga mkono basi anapata promotion ni hatari sana. Sasa tukajikuta tunapata viongozi hatari sana kwenye sekta nyeti ndani ya taifa letu.

Mtu kama huyo anajiamini kufanya hayo kwa sababu anajua anayo connection ndani ya SIRIKALI NA SISIEM. Sijajua alipata wadhifa huo kipindi gani, lakini mashaka makubwa zaidi niliyonayo ni jinsi alivyopata wadhifa huo na sasa hii ndo inapelekea kuyatenda yote haya.
 
Siwapendi walimu sababu ya kuisaidia sisiemu kuiba kura lakini kwa maandishi haya, it seems kulalamika kwao kuna wasaidia
 
Siwapendi walimu sababu ya kuisaidia sisiemu kuiba kura lakini kwa maandishi haya, it seems kulalamika kwao kuna wasaidia
Kwahiyo lawama za boss wao kichakata mbususu nazo ni lawama za kusaidika mirandaoni?
 
Kwani ukiandika barua lazima utaje jina lako? kwani huwezi anzisha email fake hata ya gmail ukatuma kama hapa wewe unavyotumia ID fake?
 
Duuuh mlongo vangu amekutwaa na jambooo. Ila kwenye uzinzi nakubaliii, sisi wangoni tunapenda sana mizagamuooo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka sana aisee...
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ngo - nyani = Mngoni mpe fedha atafikisha ila sio mke, hivo vijamaa vya kusini vinapenda chini sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…