DOKEZO Uonevu uliokithiri Idara ya Elimu Manispaa ya Moshi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mbona sijaona chuki yoyote kwa huyo mwl. Zaidi ya kufunguka kinacho msibu.

Ridhiwani aunde tume tu ichunguze basi.

Poleni walimu
 
Kwahiyo lawama za boss wao kichakata mbususu nazo ni lawama za kusaidika mirandaoni?
Kuna sehemu nimekusoma umesema walimu (wengine wazee) walikua wamamsujudu DEO !! Just imagine anatafuna wake zao?? Watafanya nini??

Mke anauma otherwise wewe ni wale wa UPINDE
 
Kuna sehemu nimekusoma umesema walimu (wengine wazee) walikua wamamsujudu DEO !! Just imagine anatafuna wake zao?? Watafanya nini??

Mke anauma otherwise wewe ni wale wa UPINDE
Rudi kasome vzr, kuna mdau nilikuwa namjibu, si kwamba ilikuwa mada mpya
 
Mwisho wa siku ili Ngonyani afikishwe mahakamani lazima kuwe na ushahidi wa kutosha, kuna TAKUKURU ndiyo kazi zao hizo
Wasiwasi wenu kwa JAMIIFORUMS unatoka wapi??

Mbona maovu ya watu wengi yanaandikwa humu??

Kuanzia WIZARANI, BOT TANESCO POLISI TAKUKURU.

Uzuri zaidi mara nyingi matokeo ya tuhuma kama hizi yamekua chanya na watu wamewajibishwa.

Jf, where we talk openly
 
Sawa mkuu
 
Hiyo kwenye bold ndipo mnakera
 
Hivi hawa maafisa elimu wilaya hasa msingi wanakuwa na laana nini? Yupo mmoja wa wilaya ya Chamwino zainabu kishegwe sijui nae kesharipotiwa Sana hapa jf kwanini wanaona hizo ofisi za umma kama mali zao binafsi na mamlaka zinawaangalia tu fikiria kiongozi anajiamini mpaka kutoa mimba watoto wa watu Taifa linapelekwa wapi hili!
 
Kwa ujinga wako huu hata mumeo kazi anayo
Jamaa jinga Sana Hilo halifahamu hata ibara ya 77 ya katiba kuwa inakuruhusu kutafuta njia yeyote kufikisha taarifa jf inasomwa mpaka na namba 1 na vipenyo tele wamo humu kwa ufupi huyo kama siyo yeye basi itakuwa ni wale miongoni anaowabandua.
 
Na zaidi mleta mada kaomba uchunguzi pia kawapa muongozo pa kuanzia yaani kawatafunia.
 

Haya siyo majungu kweli? kesi ya ulawiti inapelekwa kwa Afisa Elimu au polisi? hapa ukweli utakuwa ni mdogo sn
Inategemea na mazingira waliojiwekea wahusika Kuna maeneo MTENDAJI wa Kijiji(VEO) anaogopwa kuliko IGP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…