Uongo gani mkubwa uliwahi kuongopewa na mwenza wako ukaja kujua ukweli?

Hahaa 😂 ikawaje Mkuu
 
Gifted Girl njoo hapa mke wangu 💕 usome maneno ya huyo mwanamke hapo juu, alafu niambie nifanye nini...
 
Sioni kama huyo mwanamke alikosea kusema ukweli
Kasema ukweli baada ya kuona millage GO.

So kaona jamaa etu alikua REAL KWAKE ndio amuangushie JUMBA BOVU

Nukuu za kale,
"ONCE A TRAITOR, ONCE A TRAITOR"
 
Tukiwa high school, alisema alikuwa bikra, nilipomkula sikuikuta. Nilipoondoka akanitext eti "babe nimeona vidamudamu after you left"
[emoji1][emoji1]
Me: Just chill bixch, wala sikuwa na nia na hiyo bikra yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…