Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa 😂 ikawaje MkuuAliniambia ana miezi mitano hajaingia period na kwao huko ni kawaida eti...
kumbe ana mimba ya miezi minne
mimi nilikuwa namchora kama sielewi vile, nilishaiba mkojo nikaenda pima UPT nikakuta tayari ni mjamzito kutoka kwa ex wake
huyu dem alitoroka kwao na kunifuata huku town anafos kuolewa kumbe anakimbia timbwili kwa wazazi...
Fak-ha
Acha kumpotosha Jamaa etu 😅Mkuu tulia hapohapo, dem kakwambia ukweli hakuna haja ya kumwacha
Sioni kama huyo mwanamke alikosea kusema ukweliAcha kumpotosha Jamaa etu 😅
Kasema ukweli baada ya kuona millage GO.Sioni kama huyo mwanamke alikosea kusema ukweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tukiwa high school, alisema alikuwa bikra, nilipomkula sikuikuta. Nilipoondoka akanitext eti "babe nimeona vidamudamu after you left"
[emoji1][emoji1]
Me: Just chill bixch, wala sikuwa na nia na hiyo bikra yako.
Waparee wamefikiwaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakuibia siri......
Katika watu ambao hutakiwi kuwaamini wakiwa Wana tongoza ni wapare.......
View attachment 3105386
Sasa urafiki gani wa kawaida au ushemuu?? Huenda nikawa sijakuelewa🤣🤣🤣Muongo wewe mnateteana sana😭
Hahahaha!!..... karibia na woteWaparee wamefikiwaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila sio wotee bhanaa.
Kama kawaida yako 😂 wewe ni kucheka tu, raha sana 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa Mkuu, huenda mm ni mgeni ndio maana nasema hivyo.Kasema ukweli baada ya kuona millage GO.
So kaona jamaa etu alikua REAL KWAKE ndio amuangushie JUMBA BOVU
Nukuu za kale,
"ONCE A TRAITOR, ONCE A TRAITOR"
NiadjeOyaa
Fresh, vipiNiadje
Vizuri Sana mkuu.Sawa Mkuu, huenda mm ni mgeni ndio maana nasema hivyo.
Ila nachukua point zitanisaidia siku za mbele 🤝🤝🤝
Babe mambo 😍🤣🤣Unibembeleze😔😍
HahahaaERoni alinidanganya ana migodi ya dhahabu, nikajisemea nimejiokotea sonko langu. Bwana bwana, kuja kugundua yule mpare hana hata baiskeli. Wapare sio watu.