Uongo gani mkubwa uliwahi kuongopewa na mwenza wako ukaja kujua ukweli?

Uongo gani mkubwa uliwahi kuongopewa na mwenza wako ukaja kujua ukweli?

Aliniambia ana miezi mitano hajaingia period na kwao huko ni kawaida eti...

kumbe ana mimba ya miezi minne

mimi nilikuwa namchora kama sielewi vile, nilishaiba mkojo nikaenda pima UPT nikakuta tayari ni mjamzito kutoka kwa ex wake

huyu dem alitoroka kwao na kunifuata huku town anafos kuolewa kumbe anakimbia timbwili kwa wazazi...

Fak-ha
Hahaa 😂 ikawaje Mkuu
 
Gifted Girl njoo hapa mke wangu 💕 usome maneno ya huyo mwanamke hapo juu, alafu niambie nifanye nini...
 
Tukiwa high school, alisema alikuwa bikra, nilipomkula sikuikuta. Nilipoondoka akanitext eti "babe nimeona vidamudamu after you left"
[emoji1][emoji1]
Me: Just chill bixch, wala sikuwa na nia na hiyo bikra yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom