Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 3,620
- 7,818
Umenuna 😂Sawa bwanaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenuna 😂Sawa bwanaa
Ninune kisa nn mkuuUmenuna 😂
Lakini ushaliwaAliniambia yupo single ana mtoto 1, mtoto anaishi na mzazi mwenzie kumbe mume wa mtu, mkewe alikuwa na ujauzito wa mtoto wao wa pili. Nilitoka nduki sikugeuka
Anafanya kazi usalama wataifa nikaja kujua ni usalama wamapenzi hana hata nyumba kapanga gari na kila kitu niuongoHabari wakuuu,
Kama tunavyojua kwenye harakati au maisha ya kimapenzi tunakutana na misuko suko ya hapa na pale, misuko suko ambayo inatufanya tuyachukie mapenzi au mahusiano.
Moja ya mambo yaliyoshamiri kwenye ndoa na mahusiano ya nyakati hizi ni UONGO uliokithiri.
Mimi binafsi niliwahi kuongopewa ujauzito na binti mmoja miaka ya nyuma kwa kuwa tulikuwa tukiishi mikoa tofauti na nilikuwa namuamini sikumtilia shaka.
Pia soma: Jambo gani baya umewahi kumfanyia mpenzi wako na utajutia milele?
Nililea mimba mpaka miezi mitano ndipo dada yake alipokuja kuniambia baada ya kuwa na yeye alikuwa anakereka na jambo alilokuwa akinifanyia mdogo wake, baadae alikuja kukiri na kuniomba msamaha, Sikumsamehe.
Rafiki yangu na yeye ilimkuta kwa binti mmoja wa Kihehe mpaka mimba ikazaliwa baadae akasema mtoto amekufa.
Je, wewe ndugu uliwahi kukutana na uongo upi kwenye ulimwengu wetu wa mapenzi?
Pole sana mrembo.....umekutana na kijana wa hovyoAnafanya kazi usalama wataifa nikaja kujua ni usalama wamapenzi hana hata nyumba kapanga gari na kila kitu niuongo
Yes , i wish nikutane na mpenzi anayehudumia nikikwama ila ndio badoooPole sana mrembo.....umekutana na kijana wa hovyo
Wakunitunza na wakunisitiri hayupogi nikipata jambo langu natatua mwenyewe na ndio maana nipogi kivyanguPole sana mrembo.....umekutana na kijana wa hovyo
Pole sana.... lakini usiwe Sana peke yakoWakunitunza na wakunisitiri hayupogi nikipata jambo langu natatua mwenyewe na ndio maana nipogi kivyangu
Bahati mbaya wapenzi wanaohudumia hawana muonekano mzuri kama mmavyopenda....Yes , i wish nikutane na mpenzi anayehudumia nikikwama ila ndio badooo
Nitaka mwenyewe tu hadi nione ndio huyuPole sana.... lakini usiwe Sana peke yako
NI kweli akikushika anastukaBahati wapenzi wanaohudumia hawana muonekano mzuri kama mmavyopenda....