Uongo gani mnatumia kuwarubuni wanawake?

Uongo gani mnatumia kuwarubuni wanawake?

United ya Ferguson

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2021
Posts
3,132
Reaction score
6,353
Nilishawahi mdanganya mwanafunzi IFM pale Kigamboni kwenye pantoni nasoma CPA kumbe ni darasa la Saba failure tu na kaingia kingi kweli ishu ilikuwa kakiomba kaje nikafundishe maana kalinambia kanasoma mambo ya banking balaa likua linaanzia hapo.

Huu ndio uongo ambao nimewahi tumia na ukanilipa sijawahi kutuma gharama yoyote zaidi ya kuombwa muda wa kukafundisha haka kabinti

Wazoefu wa mambo nyinyi mnatumia mbinu gani ya uongo kuwanasa hawa viumbe.
 
Nipo kusoma comment za waongo.
FB_IMG_16569463892692567.jpg
 
Nilikua nimevaa kaunda suti na mawani. Basi yule mrembo namuonesha tuu namba hewa za viongozi. Akajua mimi usalama. Pembeni na shangingi moja na mshikaji wangu.

Nahisi demu akipandwa nyege kali baada kuona nafunguliwa mlango na mshikaji akijua ni dereva
 
Unajifanya una connection na mawiziri
 
Nimenunua bia nyingiiii.. zipo juu ya meza.. mkononi nina Xs Max sijaweka kava inawaka balaa.. na ni mjamaa mmoja mtanashati sana.

Nishachukua namba nyingi sana kwa mtindo huu sehemu za starehe. Na najua mipango mingi. Guuuuy. I am smart and intelligent kwenye maongezi yangu. Mwanamke hapindui.
 
Back
Top Bottom