Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
😜Huu uchizi wako ndio unanifanya niendwlee kiwepo jf
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😜Huu uchizi wako ndio unanifanya niendwlee kiwepo jf
SawaNdio maana Wanaume wanadanganya ili apate mzigo faster so hapo unarudi kwenye point ile ile mtoa mada wanawake bila kuwadanganya hupati mzigo
WanaumendiomnaanzagakufakwasababuKiumbe dhaifu ndio aondoke kwanza ukibakia utapata tabu kuishi
Si anakua na mwengine tuUkianza kufa wewe???
Tena ivi vitoto vya chuo vinapenda mamb makubwa kweliKuna kisa nimekumbuka imebidi nicheke. Nilishamdanganya dem mtoto wa IFM pale kwamba nafanyia kazi ikulu siku iyo nilikua nimekula suti yangu nyeusi natoka pale Ukumbi wa kimataifa Mwl. Nyerere.
Yule mtoto alipagawa sana, uzuri boss wangu alikua na Prado kaniachia yeye alikua safari sasa nilikua na bhang nalo naenda pale IFM nambeba naenda namkula anarudi na uber, yule dem alipagawa sana aseee[emoji1316][emoji1316].
Wanawake mnapigwa na vitu vizito sana asee wanaume tuna mbinu za kuwapata. Bila uongo kutoboa ngumu sana. Yule mtoto alikua ananiheshimu sana na alikua ananiogopa balaa[emoji23][emoji23]
Kwa sababu ya nini tenaWanaumendiomnaanzagakufakwasababu
Mtoto alikuwa anakuja na biblia prepo. Ikabidi nami niwe kama nimezaliwa kapernaumu church kila j2.[emoji23][emoji1787][emoji1787] na Mzigo nikala..
Baadae na akajua kuwa mwamba na religion ni vitu viwili tofauti ila ndo akawa ashakolea
This is a poignant attempt to run away from a challenge just because it only runs over you once you try to approach it. 🙂 🙂 🙂Kwa kifupi huu ni uchafu umeandika, ungechagua lugha moja ingeeleweka
Hivi kwa akili zako, unadhani second party yeye huwa hataki? Mbona hata hamfikiri nyie jamaa? Imagine huyo bidada alikuwa anakutaka, yeye alitumia nguvu gani?Kuna kisa nimekumbuka imebidi nicheke. Nilishamdanganya dem mtoto wa IFM pale kwamba nafanyia kazi ikulu siku iyo nilikua nimekula suti yangu nyeusi natoka pale Ukumbi wa kimataifa Mwl. Nyerere.
Yule mtoto alipagawa sana, uzuri boss wangu alikua na Prado kaniachia yeye alikua safari sasa nilikua na bhang nalo naenda pale IFM nambeba naenda namkula anarudi na uber, yule dem alipagawa sana aseee
.![]()
Wanawake mnapigwa na vitu vizito sana asee wanaume tuna mbinu za kuwapata. Bila uongo kutoboa ngumu sana. Yule mtoto alikua ananiheshimu sana na alikua ananiogopa balaa![]()
![]()
Yani bila ya kutudanganya mambo hayataenda.....Nilishawahi mdanganya mwanafunzi IFM pale Kigamboni kwenye pantoni nasoma CPA kumbe ni darasa la Saba failure tu na kaingia kingi kweli ishu ilikuwa kakiomba kaje nikafundishe maana kalinambia kanasoma mambo ya banking balaa likua linaanzia hapo.
Huu ndio uongo ambao nimewahi tumia na ukanilipa sijawahi kutuma gharama yoyote zaidi ya kuombwa muda wa kukafundisha haka kabinti
Wazoefu wa mambo nyinyi mnatumia mbinu gani ya uongo kuwanasa hawa viumbe.
We umeua kabisa [emoji28][emoji28][emoji28]Mtoto alikuwa anakuja na biblia prepo. Ikabidi nami niwe kama nimezaliwa kapernaumu church kila j2.[emoji23][emoji1787][emoji1787] na Mzigo nikala.
Baadae na akajua kuwa mwamba na religion ni vitu viwili tofauti ila ndo akawa ashakolea