United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Nilisoma comment ya kwanza, kwa hiyo hujapata mtaji 🏃Nipo kusoma comment za waongo.View attachment 2282884
Kwenye pesa ufailure, hata kudanganya ushindweNipo kusoma comment za waongo.View attachment 2282884
Unajifanya una connection na mawiziriNilikua nimevaa kaunda suti na mawani. Basi yule mrembo namuonesha tuu namba hewa za viongozi. Akajua mimi usalama. Pembeni na shangingi moja na mshikaji wangu.
Nahisi demu akipandwa nyege kali baada kuona nafunguliwa mlango na mshikaji akijua ni dereva
Uoongo ni sehemu ya maishaUkisikia dunia hadaa walimwengu shujaa, hao walimwengu ndio wanaume sasa
Mmbea wewe, shauri yako[emoji125][emoji2535][emoji2382][emoji125][emoji2535][emoji2382]Nilisoma comment ya kwanza, kwa hiyo hujapata mtaji [emoji125]
Mwanamke ukimwambia ukweli humpati kamwe..uwongo ni sehem ya maisha
Huyu apa AZIZI KIView attachment 2282898
HahahahaNilikua nimevaa kaunda suti na mawani. Basi yule mrembo namuonesha tuu namba hewa za viongozi. Akajua mimi usalama. Pembeni na shangingi moja na mshikaji wangu.
Nahisi demu akipandwa nyege kali baada kuona nafunguliwa mlango na mshikaji akijua ni dereva
Ni kweli ukimwambia nataka nikugegede anasema oh wataka kunichezeaMwanamke ukimwambia ukwel umpati kamwe..