Uongo gani uliutumia kuaga nyumbani wakati unaenda kwa mpenzi

Uongo gani uliutumia kuaga nyumbani wakati unaenda kwa mpenzi

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
15,052
Reaction score
36,866
Usiku huu mwanangu amekuja ananipanga na uongo ambao na mimi niliutumia ujanani, akanikumbusha enzi za chuo. Sisi tulioishi nyumbani, wazazi walijitahidi kutulinda, ila wavulana wa enzi zetu waliwazidi kete.

Sijui uongo gani sijasema kwenda kupewa utamu :uwotWater::uwotWater::uwotWater: na viboyfriend vya chuo na nikinogewa kulala huko huko.

Top 3 zangu hizi hapa:

Kulala msibani
- Tunaenda kuzika binamu / ndugu wa rafiki yangu ambaye wazazi wanamjua.

Kusali - Kuna mkesha wa praise and worship au ibada ya vijana (hii inakua ni kweli mkesha upo, ila unaenda kwa geresha, saa saba usiku kaboyfriend kanakuja kukuchukua unalala kwake mpaka asubuhi)

Ugonjwa - Rafiki yangu anayeishi hostel anaumwa sana, nitabaki naye kumsaidia.


Lete na wewe uongo wako ulioutumia.
 
Niliaga naenda jogging... Dingi akaniambia 'angalia usiumie mguu!' Nikasema ‘sawa’,

The rest ni kwamba nilikimbia kuiwahi papiro ile kinoma 😁🙌🏽

giphy.gif
 
Pole sana, nina mdogo wangu naye yuko kama wewe.
Akianza kudanganya anatetemeka mikono na maneno hayaeleweki 😅
😆😆 kwa kweli uwongo wa kitu unachokijua unatia wasiwasi especiall mimi mzee alikua mkali
 
Back
Top Bottom