Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 2,217
- 4,280
kuliwa sana ni umalayaWewe hujakula sana 😅 ?
kula sana ni urijali
life is not fail
kuliwa sana ni umalayaWewe hujakula sana 😅 ?
Rudia tena kusoma ulichoandikakuliwa sana ni umalaya
kula sana ni urijali
life is not fail
Basi tulikua tunatafutana 😆 😂Nimehangaika weeeh.... Nilikuwa namtafuta wa type yangu kumbe upo hapa jamvini... dah...
Karibu DM...
😂😂😂 kwani nimekosea wapi, mwanamke akiliwa sana anaitwa malayaRudia tena kusoma ulichoandika
View attachment 3356215
Comment hapahapa.. mimi pia nilipewa papuchi mara ya kwanza semester ya pili mwishoni first year chuo. Kwa hiyo sikuwahi kudanganya home kisa papuchiNa sie tulioanza mapenzi umri mkubwa tukoment wapi?
Mwanangu, huwa napenda sana stori zako 😍😊 yani umeanza kuzagamuana Form 4.Baba akija pitia huu uzi atacheka sana...
Naomba na mimi nichangie chochote kitu hapa kuhusu mpenzi wangu ambae nilianza mahusiano nae form 4 mwishoni.
Huyu mtoto alikua ana hatari sana maana kuna kipindi nilikua naenda mpaka kwao kumpitia kabisa naaga tunaenda kusoma..
Yule mama alikua ananiamini sana ananiacha na mwanae kumbe tunaenda kuzagamuana
Tunafika form five yule mdada alikua na pepo la ngono.. mda huo mimi ndo nilikua pepo lenyewe. Kuna kipindi mimi nilipata likizo kwa kuwa shule yetu ni boarding nikird hom nakuta wenyewe hawana likizo yaani wanaenda kila siku maana wao ni day (samora high school)
Huyu mtoto alikua kila siku anarudi shule saa tano anasingizia anaumwa. Japo kweli alikua anasumbuliwa na athma ila alikua anawahi kuja hom ili tuu aje achezee dyudyu..
Even mi kuna mda nilikua namdanganya faza kwamba nafata chakula cha kuku na pesa ntatoa mwenyewe .
Kumbe naenda kunywa mate lita 5
Yale mapenzi hapana aiseee yaan ilikua likizo ya mwezi mzima sisi tunazagamuana non stop..
Mpaka danger day si tunapita hatuelewi.
Tukistuka nampa majivu anakunywa si mbeleeeeee...
Daah kwa sasa kashaolewa sijui huko alipo. Ila. Ana mtoto na anasemaga kila nikichati nae ""oyaaa nimemiss mambo yetu mwanangu sana achaa tuuu huku naokutana nao hata hawajui kudekeza """"
Sasa hv naaga kwa mishangazi ili nirudi hom staki ujinga wa kulala nje ya ghetto
Classic 💯Tuna group discussion na wenzangu tunajiandaa na UE, tunakutana kwa rafiki yangu fulani.
hongera sana mkuu..Comment hapahapa.. mimi pia nilipewa papuchi mara ya kwanza semester ya pili mwishoni first year chuo. Kwa hiyo sikuwahi kudanganya home kisa papuchi
oky! Ila hako ka stage ka dhambi ya uongo, mim kalinipita.Mnacomment hapa hapa Mme Mwenza
We unatumia uongo gan kuwatoroka wazazi wako unapoenda kuutembelea mkono, sabuni au kupanda mnazi? Maana Mpenzi huna 😅Inasikitisha sana
Mm nakimwaga hata mbele yao 🔥We unatumia uongo gan kuwatoroka wazazi wako unapoenda kuutembelea mkono, sabuni au kupanda mnazi? Maana Mpenzi huna 😅
DUUUUH, Mtoto wa mama Samia, papuchi yako ya kwanza ilikua kutoka kwa mshangazi anayejiuza? harari sana, ulitumia kinga?Mimi nilichelewa sana kutafuna papuchi... nikiwa na miaka 20 ilikuwa nipewe papuchi na demu niliyekutana naye Triple A club siku moja baada ya krismas ila haikuwezekana. Nikiwa na miaka 22 ndo nikapewa na jimama fulani lililokuwa linajiuza Mrina. Kwa hiyo sikuwahi kusema uongo kisa nina appointment ya papuchi
Na mimi experience yangu ya kwanza ilikua ya kutoana ushamba, maana mwenzangu naye hakuwahi kujaribu.mim pia papuchi nmeanza kuimega nipo 23 years, kibaya na kizur dem nilie anza nae nayey alikuwa bikra kwahyo tukatoana ushamba.
😂😂😂 naona baada ya kupewa tamu, ndoto za upadre zikayeyuka ukaishia kumtundika binti ujauzito.oky! Ila hako ka stage ka dhambi ya uongo, mim kalinipita.
Mda huo nilikuwa bize najiandaa kuwa padre wa baadae...
Bila kinga ningeshazikwa labda... mimi bila kinga inaweza isisimame. Wakati nakula jimama kuna manzi wa chuo nilikuwa nafukuzia ila akanikataa kikatili mno ikanibidi nitulie na kila nikijisikia hamu namcheki jimama kwa bei elekezi ya Tsh 3000/= kwa wakati huo. Ila huyo jimama ni miongoni mwa watu walionisihi niachane na mambo ya kuwanunua. Ilikuwa ngumu ila nilifanikiwa kuacha kuwanunua.DUUUUH, Mtoto wa mama Samia, papuchi yako ya kwanza ilikua kutoka kwa mshangazi anayejiuza? harari sana, ulitumia kinga?
Na vipi, zilizofuata ulipata ujasiri wa kutongoza au uliendelea kuwala wafanyabiashara.