Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Upweke huwa unazalisha ujinga mwingi sana.Inasikitisha sana
Upo sahihi mkuu, mwenyewe enzi hizo nikiwa mpweke nilikuwa mjinga Sana Ila baada ya kuanza kupiga nyeto nimekuwa mwerevu mnoUpweke huwa unazalisha ujinga mwingi sana.
Niliaga naenda jogging... Dingi akaniambia 'angalia usiumie mguu!' Nikasema βsawaβ,
The rest ni kwamba nilikimbia kuiwahi papiro ile kinoma πππ½
Ulikua na kisingizio cha uhakika sana!Me nilikuwa na mjomba wangu mwenye akili km zangu, kwahyo ilikuw nikitaka kutoka hm namtext ili ampgie mzee kuwa ananihitaj kwake.. Yan dk
0 tu mzee ananambia jiandae anko wako anakuita...
Pole sana, nina mdogo wangu naye yuko kama wewe.Nilikua sijui kudanganya yani lips na maneno yanayotoka mdomoni vilikua haviendani yani uongo ni uongo tu
Anko alikuwa hapingwi...Ulikua na kisingizio cha uhakika sana!
ππ kwa kweli uwongo wa kitu unachokijua unatia wasiwasi especiall mimi mzee alikua mkaliPole sana, nina mdogo wangu naye yuko kama wewe.
Akianza kudanganya anatetemeka mikono na maneno hayaeleweki π
Wewe hujakula sana π ?ko umeliwa sanaπππutotoniπππππππππ
Mnacomment hapa hapa Mme Mwenza π π π πNa sie tulioanza mapenzi umri mkubwa tukoment wapi?
Haaa haaa pole kwa kuachwa πLeo nimebanwa kazini nitalala huku huku
Naenda kwenye Harusi ya rafiki yangu
Kiko wapi niliachwaa pamoja na kudanganya home
Anko aliaminiwa akawa anakusevu π―Anko alikuwa hapingwi...