Uongo gani uliutumia kuaga nyumbani wakati unaenda kwa mpenzi

Na mimi experience yangu ya kwanza ilikua ya kutoana ushamba, maana mwenzangu naye hakuwahi kujaribu.
Alikua na uoga sana, ilikua inasimama halafu akijaribu kuweka inasinyaa
hahahaha duu alikua anahofu kwel..

Mie tulijaribu mara ya kwanza ngoma haipiti, tuka ahrisha.

Nikagoogle namna yake bhana cjui mate na mafuta.. Ila mim likaja wazo la kutumia mlendalenda.

Nikamwita akaja nikapaka mlendalenda nikapita shwaaaaaaaa.

Aise hakutembea niliogopa japo nilijikuta kidume nmekua
 
naona baada ya kupewa tamu, ndoto za upadre zikayeyuka ukaishia kumtundika binti ujauzito.
hapana mzee wangu aliweka kauzibe nisiende kusomea hayo mambo, coz mtoto wa kwanza kwa mama.

Nikatulzana tu nikataman kuwa na mtoto.
Japo mpka sasa sina mbinu za kivita za utongozaji najikuta naogopa kudanganya watoto wa watu.
Ninabagua wanawake yani ntasex na yule anaweza kuwa mke ikitokea kawa mjamzito.

Ila nikipenda najitosa itavokua
 
Mwanangu, huwa napenda sana stori zako 😍😊 yani umeanza kuzagamuana Form 4.
Kweli mtoto wa nyoka ni nyoka tu siku zote πŸ˜… ila hata mimi mama yako ulinizidi ujanja 🀣.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒMama mi veta kitambo..
Kuzagamuana kitambo sana.

Nakumbuka kipindi nipo form 2 nilipata mtoto mmoja anaitwa flara aiseee yeye alikua kanizidi kidato ila tulipendana sana..

Huyu mtoto sina mengi ila kiufupi mtoto wa nyoka ni nyoka tuu..
Nimerithi mengi kwako
 
Mwanangu umenishinda tabia, form 2 πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ mama yako nimekulana kwa mara ya kwanza chuo.

Ila nakumbuka Form 2 nilikua na classmate tukirudi shuleni anatuhadithia kuhusu boyfriend, mambo ya kupelekwa beach na kwenda videti lakini hakuna habari za ngono. Na huyo ndiyo alikua anaonekana mjanja, bwenini wote tunazunguka kitanda chake kusikiliza hizo stori πŸ˜‚.
 
Jimama lilikuonea huruma πŸ˜… hongera kwa kufanikiwa kuacha kula wafanya biashara wa mbususu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Daaah aiseee mbona hatareee hiyo..
Kwahyo maza wewe mambo ya kusukutua naniliu umeanzia mwaka wa ngapi ukiwa chuwo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mlenda mlenda ndiyo nini?

Sisi ilituchukua siku tatu 🀣🀣🀣 kila nikikumbuka yale mahangaiko nabaki kucheka tu!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Daaah aiseee mbona hatareee hiyo..
Kwahyo maza wewe mambo ya kusukutua naniliu umeanzia mwaka wa ngapi ukiwa chuwo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nilichelewa sana, enzi zetu hatukua na internet mpaka uende kwenye cyber cafe ila tulikua na kanda za video, CD na desktop.

Mwaka wa pili chuo, boyfriend alikuja na CD ya mizagamuano, nikaona kwa mara ya kwanza rungu linasuuzwa. Basi tukaona acha na sie tujaribu, Ile kuweka tu mdomoni naona kijana anajipinda pinda. Toka hapo nikanogewa, siku hizi lazima ba'mtu asuuzwe rungu vizuri, anilishe protein kale ka bao kwanza ka kiherehere katupishe πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Mama tumia tafsida....

Ndio maana ulichelewa... Lakini zile video kwa sasa naziogopa sana waliwahi nidaka nikapigwa faini ya ajabu mpaka sasa nikiziona nasisimka naona pesa yangu ileeeee

Mi kipindi hiko tulikua wachakalamu sana aiseee yaan yule mkweo alikua mshenzi sana alikua anapenda ngono kama chakula...

Nipo shule nawaza nirudi likizo tuu..
Chuo sijafanya uchakalamu sana maana tulitishiwa na ile takwimu ya AIDS kuwa chuo chetu ni cha pili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Ila nilipewa kazi ya kusambaza kinga hv nikawa mara moja moja nawasha moto kwa hawa watoto wa diploma
 
Hapo tayari nimetumia tafsida mwanangu πŸ˜‚ πŸ˜‚ jukwaa la watu wazima hili, hakuna asiyejua haya mambo.

Chuo uliogopa kuunganishwa kwenye gridi eenhe, safi sana. Ila acha kuharibu vitoto vya watu vya diploma, we endelea kula wale mama zao wanaokubana uso wako kwenye mapaja πŸ˜‚.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Et mama kwani kuzagamuana sana kunafanya mtu azeeke
 
Hana akili,mume hasengenywi!mume ni mtu wa kusifiwa tu hata kama hajui game
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…