Uongo huu wa uongozi wa chura usifumbiwe macho

nkuwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
4,806
Reaction score
5,347
Kuna uongo unaendelea kusemwa na kusambazwa na viongozi eti kuwa Sisi chura tumeuza Jezi mil 3½ Hadi mil4, hizo jezi tumeuzia majini?? Jezi hewa zimeuzwa??Mbona Leo uwanjani zaidi ya 75% tulivaa jezi za Miaka ya nyuma??? Tunamdanganya Nani?? Hii fursa ya kibiashara iliyotupita ya leo tutaipata lini tena??? Viongozi tunaomba maelezo ya kutosha huu ubwege tulioufanya Leo haufai kunyamaziwa hata kidogo. Semeni tumekurupuka hatujajipanga, tunaiga iga copy & paste kutoka Kwa Simba,

Wenzetu wanafanya Mambo kitaalamu na kisayansi Sisi tunapuyanga tuuu,

Jezi zinaishaaJe??

Alafu la mwisho, huu usajili mbona kama tumepigwa??? Huyu ndanda Kosovo aliyekuja kuchukua namba ya heritier makamboo ni mchezaji kweli au mbeba mabox huko Kongo??

Usajili pekee ni wa mapinduzi balama, wengine tumepigwa kekundu.

Buku yangu ya kiingilio imeniuma Sana aisee,

Ngoja nilale.
 
Jezi zililetwa na toroli zitaacha kwisha. Jezi 2000 ndio zimeuzwa.Dauda alijaribu kuulizia jana akaambiwa zitakuja baadaye.Wanangojea labda kutembeza bakuli.Leo lilitembezwa na Dakota.
 
Huna jipya, wivu tu unakusumbua Mikia fc wewe usicheze na vichwa.
 
umetoa buku ya kiingilio unalalamika kama Injini ya FIAT ya mwaka 1947... kwanza umeenda kuangalia jezi au soka?
Mkuu Mambo yanaendelea Kwa club yetu ya chura ni ya kijinga, hivi ushawahi sikia wapi Jezi la club zinaisha??? Huu ubabaishaji hatuwezi kuukubali! Never.

Buku yangu imeniuma Sana kiongozi
 
  • Thanks
Reactions: Tui

Hahah we jamaa unachekesha sana...yaani umetoa buku unalia balaa
 
Jezi zililetwa na toroli zitaacha kwisha. Jezi 2000 ndio zimeuzwa.Dauda alijaribu kuulizia jana akaambiwa zitakuja baadaye.Wanangojea labda kutembeza bakuli.Leo lilitembezwa na Dakota.
Mkuu umeongea ukweli mtupu, sema hawa wananchi wenzangu wanajikaza kisabuni ila tumeaibika aisee,
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hivyo ulivyosikia bado tu hujasikia wapi au masikio yako yana matege?
MwanaNDAlA mwenzangu hebu tuliza kichwa kidogo. Jezi za club zinaishaJe?? Ulishawahi sikia wapi??
 
Kalale usubiri yakwako jnne.
Mkuu wale jamaa wa jne wamejipanga Sana, sio kama Sisi, Sisi tumekurupuka aisee!

Akina Juma Abdul na Dante hawajulikani walipo, wanadai hela, SASA ligi ikianza itakuwaje??

Ngoja town rollers watupigee hapa home ndio mtaelewa!
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kuna uongo unaendelea kusemwa na kusambazwa na viongozi eti kuwa Sisi chura tumeuza Jezi mil 3½ Hadi mil4, hizo jezi tumeuzia majini?? Jezi hewa zimeuzwa??Mbona Leo uwanjani zaidi ya 75% tulivaa jezi za Miaka ya nyuma??? Tunamdanganya Nani?? Hii fursa ya kibiashara iliyotupita ya leo tutaipata lini tena??? Viongozi tunaomba maelezo ya kutosha huu ubwege tulioufanya Leo haufai kunyamaziwa hata kidogo. Semeni tumekurupuka hatujajipanga, tunaiga iga copy & paste kutoka Kwa Simba,

Wenzetu wanafanya Mambo kitaalamu na kisayansi Sisi tunapuyanga tuuu,

Jezi zinaishaaJe??

Alafu la mwisho, huu usajili mbona kama tumepigwa??? Huyu ndanda Kosovo aliyekuja kuchukua namba ya heritier makamboo ni mchezaji kweli au mbeba mabox huko Kongo??

Usajili pekee ni wa mapinduzi balama, wengine tumepigwa kekundu.

Buku yangu ya kiingilio imeniuma Sana aisee,

Ngoja nilale.
Wewe Mikia FC tulia.
 
Back
Top Bottom