nkuwi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 4,806
- 5,347
Kuna uongo unaendelea kusemwa na kusambazwa na viongozi eti kuwa Sisi chura tumeuza Jezi mil 3½ Hadi mil4, hizo jezi tumeuzia majini?? Jezi hewa zimeuzwa??Mbona Leo uwanjani zaidi ya 75% tulivaa jezi za Miaka ya nyuma??? Tunamdanganya Nani?? Hii fursa ya kibiashara iliyotupita ya leo tutaipata lini tena??? Viongozi tunaomba maelezo ya kutosha huu ubwege tulioufanya Leo haufai kunyamaziwa hata kidogo. Semeni tumekurupuka hatujajipanga, tunaiga iga copy & paste kutoka Kwa Simba,
Wenzetu wanafanya Mambo kitaalamu na kisayansi Sisi tunapuyanga tuuu,
Jezi zinaishaaJe??
Alafu la mwisho, huu usajili mbona kama tumepigwa??? Huyu ndanda Kosovo aliyekuja kuchukua namba ya heritier makamboo ni mchezaji kweli au mbeba mabox huko Kongo??
Usajili pekee ni wa mapinduzi balama, wengine tumepigwa kekundu.
Buku yangu ya kiingilio imeniuma Sana aisee,
Ngoja nilale.